Mwanaume anapokuwa muongo aka mmbeya

Mwanaume anapokuwa muongo aka mmbeya

Lyambasa

Senior Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
153
Reaction score
43
Najua wanaume wenzangu mtanichukia lakini nataka kujua ni sababu zipi zinapelekea mwanaume kuwa mzushi,muongo,mnafiki,mchonganishi aka mmbeya.Nilikuwa na rafiki yangu ambaye ni homemate,tumesoma chuo kimoja na ni graduate.Rafiki yangu huyu niligundua siyo baada ya kuchonganisha wanandoa na kupelekea kuvunja ndoa hiyo.Kibaya zaidi baada ya kupangiwa kituo kimoja cha kazi kama wajiriwa serikalini alinichonganisha na boss wangu na kuharibu uhusiano wetu mzuri na kufanikiwa kuchukua cheo changu.Nimesalitiwa na rafiki zangu wengi kama hawa.Sasa nasema hawaniwezi tena.Inakuwaje mwanaume anakuwa hivi?????
 
Weka kisa cha wewe,boss na huyo rafiki yako nasi tutajua kama ni mmbea au wewe ulikuwa na shida kweli!!!!!

Kama ulikiwa unafisadi ofisi na nchi na yeye ni mzalendo ulitaka akufichie uchafu wako?????!!!!!

Nini kilitokea????!!!!

Na kama wewe sio mmbea kwa nini hujam face umwambie bali umekuja kumsengenya huku????!!!!
 
"Show me your friends I will tell who you are".
 
Weka kisa cha wewe,boss na huyo rafiki yako nasi tutajua kama ni mmbea au wewe ulikuwa na shida kweli!!!!!

Kama ulikiwa unafisadi ofisi na nchi na yeye ni mzalendo ulitaka akufichie uchafu wako?????!!!!!

Nini kilitokea????!!!!

Na kama wewe sio mmbea kwa nini hujam face umwambie bali umekuja kumsengenya huku????!!!!

Aje atueleze..
 
Nina uhakika na wewe ni mkagera.Una stress
 
Wewe kweli mmbea ,kisa cha kutaka kuwakosanisha wazazi wangu na uzee wote ule???!!!!!

Kwamba mimi si mtoto wa yule mzee,khabithi-l-amal!!!!!!!!

I rest my case! !!!!!!!
 
Hata wewe ni mbea coz umbea ni mtindo wa kueneza taarifa za mwenzio bila idhini yake.
Je umemtaarifu kuja kumuandika huku?
 
Tatizo lako wewe msimbe,sikushangai,au nitaje kaka white,huenda wewe una mahusiano na kaka yako ya .....
 
Hata wewe ni mbea coz umbea ni mtindo wa kueneza taarifa za mwenzio bila idhini yake.
Je umemtaarifu kuja kumuandika huku?
Kwa yeyote mwanaume mwenye tabia hiyo amezidiwa na hormones za kike ni kumuandalia kikundi cha kumsuta huku amevalishwa kitop na nini kile dada white mnachovaa ndani lakini juu ya kyupi kiunoni.Mimi kwa tabia yangu kama mwanaume huwa simsemi mtu hadi awe hayupo mahali pale ,je asiposikia au kujua nimemsema huo kwani utakuwa umbeya?Tehe teheee

Similar Discussions

Back
Top Bottom