Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Helo,naitwa Colins nipo dar, umri 28 nipo ktk mahusiano. Nimehitimu chuo (ifm 2011) na kwa sasa ninafanya kazi. Napenda kuogelea(sana) kwenda beach,kusafiri,kutembea,kusaidia na kuona watu wakiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tumemsikia Mwazani Said leo katika leo tena akituelezea namna alivyonusurika katika ajali ya gari iliyopelekea wasanii 13 ya band ya taarab ya 5stars kupoteza maisha.Ajali hiyo ilitokea tarehe 22...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Habar wakuu! Naomba kujuzwa je Kuwa serious sana kunaweza sababisha kukosa partner?kama uandishi wng mbovu mtanisamehe. Naomba kuwasilisha,,,,
0 Reactions
19 Replies
3K Views
soma kwa makini mkasa huu kwa faida yako binafsi na umpendae!!!!! mimi (sio mimi grand amour!!!) ni msichana mwenye umri wa miaka 18,miezi michache iliopita nilikutana na mvulana akasema...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Natoa ushauri nasaha,vijana wenzangu,mliyopo kwenye ajira yoyote ile,iwe ya self-employment or employed,fanyeni kazi kwa bidii mjenge maisha yenu ya baadae,msiumize akili kwa wanawake hasa wale...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
1. Natunukia wenzangu, nilonacho sikhiyana Katika fikira zangu, kutoa nikupeana Lakini bahati yangu, kutunukiwa hakuna Bora niombe 2. Natunukia wenzangu, nilichonacho hutowa Kiwe ni saizi yangu...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi sijambo kabisa na natumai hata wewe unayesoma haujambo. Najua unajishangaa kusoma bandiko kama hili maana halina kitu chochote cha msingi isipokuwa kukupotezea muda tu. Kwakuwa sitaki uzidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani eeh! usilolijua usiku wa giza! mm na girlfriend wangu tumekuwa na ugomvi sikuchache zilizopita,hali hii ilipelekea kutokula pamoja kama zamani,sasa jana usiku nmekula mama ntilie nikarud na...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Kulipa mahari kwa wanawake wa siku hizi ni upotezaji wa pesa sana. Kwa sababu atuwakuti bikra tena. Nafikiri swala la mahari life tu. Enzi za mwalimu mwanaume analipa mahari na familia ya msichana...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Mwanamke ni nyonga bana, hata akiwa na sura kam tope lazima tu atapata wawekezaji. #gesi
1 Reactions
59 Replies
8K Views
Why sex is better in hotels -- and other confessions of a constant traveler By Susie Crane, for CNN updated 10:03 AM EDT, Wed October 2, 2013 Domesticated but exotic, banal but never...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasaalam wakuu, Nimeamini hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kama kutongoza,yaani haina uzoefu wala nini. Kuna mrimbwende mmoja amefanikiwa kuuteka moyo wangu lakini dah!..jinsi ya kumuanza inakuwa...
3 Reactions
95 Replies
11K Views
Zamani ilikuwa ni wanaume waliokuwa wakilalamika, kwamba wake zao hawataki kuwapa chakula cha usiku kama wanavyotaka. Lakini baadae yaani siku hizi ni zamu ya wanawake kulalamika. Katika nyumba...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari zenu enyi pambo la ndani kama watu wawaitavyo...! Awali ya yote niwape hongera nyingi kwa kufanikiwa kupata jiko, famlia huku wengine mkiwa na watoto, wenye afya na amani tele. maana...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
kweli kudumu kwenye mahusiano si kitu kidgo,,,nawavulia kofia ote wanao-count down years,,,, kanifuata mpenz wangu mkoa nilipo tumekaa zaid ya 4 days lkn ck ya mwisho yakawa majanga kwan...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
A lady went to a newspaper firm to publish her story saying "I'm looking for a man who won't beat me, leave me and who will satisfy me in bed".Two weeks later she heard a knock on her door as she...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Washikaji ndani ya JF. Mi kusema ukweli nakerwa na tabia ya baadhi ya wanawake kuomba kuongezewa fedha kununua Fenicha, Simu, Tv nk. Kinachonishangaza ni kwamba unaweza kumpa fedha za kutosha tu...
1 Reactions
122 Replies
11K Views
Jana nikiwa maeneo ya mlimani cty,nilimuona msichana moja ambaye umri wake ni kati ya miaka 28 or 30 black beuty fulani mrefu ! akishuko kutoka kwny gari aina ya prado akashuka na kuelekea ndani...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mambo vipi wadau,,,yeyote ambae anaweza kunipa kampani ya mtoko usiku huu namkaribisha....mie nipo Tabata sasa ivi Oh Yeah pub opposite na Italian nimeboreeka na sina ucngz kbs,naweza move popote...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…