Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 776
Dushele,Mbunya na Simu kipi ni cha Siri sana?maana mimi nashangaa watu wanaziweka simu zao Pin mpaka kwenye SMS lakini usiku Dushele zao au Mbunya zao wanaziacha wazi na kila mtu (wapenzi hawa) wanatazamana bila uoga na mengine ya ajabu yanafanyika kwenye kuta nne,sasa najiuliza kama mwenzako anaona mbunya yako au dushelele lako kila siku mbona simu zinakuwa na pin za kutosha tu?ina maana simu ni zaidi ya dushelele na mbunya?
Msaaada tafadhali.
Msaaada tafadhali.