Swali kwa wanawake na wanaume wazoefu

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,358
Jana wakati niko na wadau tunapata kamvinyo ulitokea mjadala mkali. Nimeona niwasilishe jamvini labda naweza pata ufumbuzi manake pale hatukufikia muafaka.

Inasemekana mwanamke anapomegwa kwa mara ya kwanza (anapokatwa bikra) anapata maumivu makali sana kiasi cha kumchukia mmegaji. Lakini cha ajabu eti mwanamke asilani hamsahau mwanaume aliyembikiri. Akikutana naye wakati wowote, hata kama ameshaolewa na mtu mwingine anapenda ajikumbushie malavidavi na mkata bikra wake.

Kuna ukweli wowote katika hili? Naomba kuwasilisha
 
Yeah mkuu hii ni kweli na wanawake wengi wakisha tolewa bikra na huyo mwanaume wanajikuta wanakuja kuolewa na mwanaume mwingine tofauti na yule aliye mfundisha kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi. Anayebisha na abishe nani hapa kaoa/kaolewa na mtu aliye mbikiri/bikiriwa?
 
Duh! Mi hata sijui kama nilishawahi kubikiri.
 
Ndo maana nakwambia wanawake/wanaume wanao bikiriwa siku zote iwa hawaoani na kujikuta wanaolewa/kuoa wakiwa tayari mtumba/used.

Nimekubali mkuu, lakini na sisi tunakuwa tumeshatumika sana. Yaani kama ni mtumba wanaume wanakuwa mtumba chakavu.
 
Nimekubali mkuu, lakini na sisi tunakuwa tumeshatumika sana. Yaani kama ni mtumba wanaume wanakuwa mtumba chakavu.

Yeah ndo maana mm nakwambia ukibikiri mtu basi huyo kwa walio wengi hutamwoa au hutaolewa nae vile vile mwanamke akimbikiri mwanaume inakuwa hivyo hivyo atakuja kuoa mtu mwingine ndo maisha hayo.
 
Yeah ndo maana mm nakwambia ukibikiri mtu basi huyo kwa walio wengi hutamwoa au hutaolewa nae vile vile mwanamke akimbikiri mwanaume inakuwa hivyo hivyo atakuja kuoa mtu mwingine ndo maisha hayo.

mkuu tupe sababu basi,mi naamini inawezekana kama utamkuta yuko mature ,maana wengine wanabikiriwa wakiwa 19yrs old sasa hapo inakuwa ngumu maana mpaka uje umri wakuolewa ni baada ya miaka 7 mpaka 10,kipindi chote hicho inakuwa ngumu kuvumiliana mpaka muoane,mwanamke/mwanaume bado anakuwa yuko shule anakutana na watu wengine tofauti,swala ni umri gani mwanamke anapoanza haya mambo,ila wengine inawezekana kabisa,na ushahidi ninao.
 
lakini sielewi................ kwanin watu wasioe wanawake waliowabikiri?
 
lakini sielewi................ kwanin watu wasioe wanawake waliowabikiri?

Kwa sababu wanabikiriana katika umri mdogo, mara nyingi wanakuwa age mates. Sasa mpaka mwanaume afikie umri wa kuoa, mwanamke anakuwa kashaolewa siku nyiiiiingi!
 
Kwa sababu wanabikiriana katika umri mdogo, mara nyingi wanakuwa age mates. Sasa mpaka mwanaume afikie umri wa kuoa, mwanamke anakuwa kashaolewa siku nyiiiiingi!
so,
we can't get married to our age-mates,can we?
 
so,
we can't get married to our age-mates,can we?

Mkuu, hapo kuna kaugumu kidogo.. Mara nyingi wanawake huwa matured mapema zaidi ya wanaume wa umri wao. Kwa mtazamo wangu binti wa miaka 22 anakuwa na mtazamo kimaisha sawa na mvulana wa miaka 25 au zaidi.
 
Yeah mkuu hii ni kweli na wanawake wengi wakisha tolewa bikra na huyo mwanaume wanajikuta wanakuja kuolewa na mwanaume mwingine tofauti na yule aliye mfundisha kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi. Anayebisha na abishe nani hapa kaoa/kaolewa na mtu aliye mbikiri/bikiriwa?

Na je ni kweli mwanamke akikutana na aliyembikiri yuko tayari kumegwa naye tena ili kujikumbusha mambo flani?
 
Na je ni kweli mwanamke akikutana na aliyembikiri yuko tayari kumegwa naye tena ili kujikumbusha mambo flani?

Mkuu hiyo mbana sana tu iwa tunakumbushia hii ni ruksa kukumbushia game na kuna slogan inasema mahawala daima iwa hawaachani.
 
Mkuu hiyo mbana sana tu iwa tunakumbushia hii ni ruksa kukumbushia game na kuna slogan inasema mahawala daima iwa hawaachani.

Hiyo kali mkuu. Kwahiyo haipaswi kuwajua waliowabikiri wake zetu manake utakuwa msala tukiwakuta pamoja hata kama ni kwa nia njema.
 
Ndo maana nakwambia wanawake/wanaume wanao bikiriwa siku zote iwa hawaoani na kujikuta wanaolewa/kuoa wakiwa tayari mtumba/used.

Na hata ukioa bikra, lazima ukishamtoa hilo "wenge" atatafuta mtu mwingine wa kuendelea nae, ima kwa talaka au kujiiba!
 
Back
Top Bottom