Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mademu wa Mjini wanaishi kwa Mbinu sana.Wanaishi kwa ile Methali ya Wahenga wa Zamani,Mkono mtupu Haulambwi.. We ukikazana na I love You I love You Nyingiiiii mwenzio walaaa hazimshtui.. Wiki ya...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
  • Closed
Hivi inakuwaje unakutana na demu ambaye sio mtu wako wala hakuwahi kuwa mtu wako ila mnafahamiana fresh tu... Lakini unakuta baada ya muda mrefu wa kutokuwasiliana siku ukijichenga tu ukampigia au...
3 Reactions
236 Replies
24K Views
  • Closed
Misura ya bandia,mikucha ya bandia,minywele ya bandia na hata 'ikulu' za bandia. Halafu kwa kudengua motoooooo.Na kutembea kwa madaha ndio wenyewe. Hawana tofauti na maroboti....wanakereketa sana
6 Reactions
211 Replies
15K Views
Angalizo: Safu hii isomwe na wenye moyo wa kutokata tamaa tu, kama hauko hivyo nakushauri usisome!!! Hizi si story bali ni matukio ya kweli. Mara ya kwanza kuonana nae ni baada ya kupata...
0 Reactions
15 Replies
48K Views
Unakutana na mtu jinsia tofauti Anakuomba # ya simu, Katika dunia ya sasa kumwambia mtu huna simu ni uongo usio Hata na chembe ya aibu Huna jinsi unatoa tu kishingo upate Anaanza...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimeona nikushirikishe haya maneno kwa kuwa nami nimeshirikishwa na nikaombwa niwashirikishe wenzangu. .... Bwana Yesu asifiwe sana wana wa Mungu, ni matumaini yangu na Imani yangu ya kwamba u...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari zenu wanajukwaa. Kwa wale wanaofuatilia mambo ya Afrika Mashariki na hasa Uganda (kenya wana jukwaa hapa) watakuwa wanajua juu ya hii familia ya Kifalme ya Tooro, Magharibi mwa Uganda...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Jamaa mmoja nchini China ameukata uume wake mara baada kuchukizwa na hali ya kutokuwa na demu kwa kipindi kirefu, na mara baada ya kitendo hicho jamaa alikimbizwa hispitali kwa matibabu...
3 Reactions
41 Replies
8K Views
Mashangazi ndio walikuwa na jukumu la kutangaza kama mwali amekutwa nayo au la Kwa Wenyeji wa mikoa inayopakana na Bahari ya Hindi, wale waishio sehemu za mwambao naamini watakuwa ni mashahidi...
14 Reactions
67 Replies
23K Views
Jana nikiwa maeneo ya kazi nilijikuta nikianzisha mazungumzo na dada mmoja hivi ambae tupo nae hapa Mazungumzo yalianzia kwenye vitu vingi lakini tulifikia kwenye kumuuliza kuhusiana na mtazamo...
4 Reactions
216 Replies
17K Views
Utafiti umegundua vijana wa tanzania bara wanawahi kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi kabla ya miaka 18 kuliko zanzibar. Na wasichana waishio bara wanatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Sioni tena umuhimu wa kuendelea na hili zoezi... Tokea nitangaze nia kwake she simply changed alot na kuanza kiburi.... Sasa nasema naivunja hii kitu, sihitaji kuishi maisha yangu yote na...
2 Reactions
100 Replies
8K Views
Mwanamke huyu kapigwa kibuti na mpenzi wake aitwae Jensen Maisha yake yamebadilika sana baada ya kuachwa Mda mwingi amekuwa akikaa mpweke na wakati mwingine hulewa pombe kupindukia Wadada...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
HABARI ZENU WANA MMU, NINA JAMBO NATAKA KUSHARE NA NYINYI THEN WAKE KWA WAUME MSEME INGEKUA WEWE UNGEJISKIAJE. nINA JIRANI YANGU AMBAYE NI MWANAMKE AMBAE YUKO KARIBU SANA NA MUNGU, DADA HUYO...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Wana jamvi salaam zenu nyote, WANAWAKE WOTE WANAJIUZA= SI KWELI ( NI HAO TUU UNAOWANUNUA WEWE) why such a topic jamani!! mbona mwatuandama namna hiyo jamani kaka zetu, baba zetu, kina ankooo...
8 Reactions
107 Replies
10K Views
wanaojiremba sana wengi wao wapo kazini kutafuta wanaume ama wanaume wa maisha ama wanaume wa kuwachuna tu,na wengine wanamaintain urembo ili wasije kukimbiwa wakakosa kuolewa. Wamama wakiolewa...
0 Reactions
82 Replies
7K Views
Umepigwa kibuti? Umeumizwa sana na kibuti ulichopigwa ? U want to revenge ? THE MOST BEST REVENGE IS TO LIVE A BETTER AND HAPPIER LIFE, BETTER THAN THAT WHICH U USED TO...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
  • Closed
Hivi hili suala la wadada au wakaka na kucha ndefu lina maana gani ? mimi zinaniboa sana
0 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
uajua hili jukwaa zamani pale zamani lilikuwa la kuelimishana kuhusu mambo yetu yaleeee, wanawake ndo mliligeuza hili jukwaa na kuanza kuwaponda wanaume. kwa muda mrefu mmetuponda sana sisi...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Nilikuwa katika pitapita zangu sehemu, mtaani ndipo nikakuta kundi la watu limemzunguka jamaa mmoja, amelala chini, amevaa suti kali, anakoroma. Baada ya kuuliza kulikoni, mdau mmoja alifunguka...
9 Reactions
28 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…