Alishwa Madawa ya Kulevya Kwenye K

Alishwa Madawa ya Kulevya Kwenye K

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
45
Nilikuwa katika pitapita zangu sehemu, mtaani ndipo nikakuta kundi la watu limemzunguka jamaa mmoja, amelala chini, amevaa suti kali, anakoroma. Baada ya kuuliza kulikoni, mdau mmoja alifunguka "huyu mheshimiwa alikuwa na abiria mmoja, dada, walipofika hapa wakapaki gari, niliona wakishuka na kufungua mlango wa nyuma, wamekaa ndani kwa muda kama karibu dakika 45, ndipo baadaye nikaona kama mtu anashusha mzigo kutoka kwenye gari, then akaingia mlango wa mbele akawasha gari na kuondoka".

Jamaa alisema ilibidi awashtue marafiki zake aliokuwa nao karibu na eneo la tukio ili waongozane kwenda kuangalia ni mzigo gani ulishushwa, ndipo walipomkuta mheshimiwa huyo anakoroma amelala chini.

Kulikuwa na uteute mweupe mdomoni, wazoefu wamedai bila shaka mheshimiwa atakuwa alikuwa anangonoana na huyo mdada na amefyonza "K" iliyowekewa madawa ya kulevya. Kuna uwezekano mkubwa ilikuwa ni tego la kumpora gari mheshimiwa huyo, maana imedaiwa kuwa mgari uliopaki maeneo hayo ulikuwa ni mzito (expensive).

CC: lara 1 Mapi mimi49 Heaven on earth mwekundu The Boss christine ibrahimu Cynthia Chriss Mshinga sister Smile Preta Mtambuzi madameA Madame B MadameX King'asti Kaunga Kongosho ladyfurahia charminglady watu8

Nimechoka nalala, waccn na wengine.
 
Last edited by a moderator:
zote hizo ni kodi zetu,bora hata bidada amechukua sehemu ya kodi zetu
 
teh teh......hii itakuwa fundusho kwa wanyonya K aka saltin wote...................!!sasa swali langu huyu mdada alijuaje kama jamaa ni mtaalamu wa kunyonya vipochi vya manyoya kwa ustadi?
 
hii habari imekosa mantiki, yani hakuna kiashiria chochote kinachoendana na hiyo heading
 
Sasa anafyonza k huku kavaa suti yake?
 
hii habari imekosa mantiki, yani hakuna kiashiria chochote kinachoendana na hiyo heading

kwenye bold hapo vipi mkuu?

Kulikuwa na uteute mweupe mdomoni, wazoefu wamedai bila shaka mheshimiwa atakuwa alikuwa anangonoana na huyo mdada na amefyonza "K" iliyowekewa madawa ya kulevya. Kuna uwezekano mkubwa ilikuwa ni tego la kumpora gari mheshimiwa huyo, maana imedaiwa kuwa mgari uliopaki maeneo hayo ulikuwa ni mzito (expensive).
 
Duh wapiga deki kwa ulimi siku hizi tupo hatarini kweli.
 
yani mamas aweke madawa ya kulevya kwenye papuchi yeye asilewe kweli..? wa kwanza angekua yeye kuzima
 
mbona naona kama napigwa hela,ina maana K ikipakwa madawa ya kulevya haidhuriki?
Nalog off
 
Washawasha labda alipaka pembeni au aliamua kujilipua, na pia nadhani madawa yanatofautiana, wataalamu waje kutuambia. JtheTATA hata mie nilijiuliza hilo swali nikawaambia labda walikuwepo wadada wawili, mmoja alilewa halafu mwingine ndio kaondosha gari! Lakini pia rate ya kulewa kupitia K na mdomo inaweza kuwa tofauti, mfano uchukue kiroba unywe na mwingine aweke kwenye K, bila shaka ulevi utatofautiana. Siwezi jua sana, Babu Asprin anaweza kutusaidia kwa hili. Anyway mie mwenyewe sikuelewa ametegwaje!
 
Last edited by a moderator:
Simplicity,dah! haya ngoja wataalam waseme unategewaje madawa kwenye K.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom