Sio kila mwanamke anajiuza, kuna agenda ya siri

ACADEMIA TODAY

Senior Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
179
Reaction score
86
Wana jamvi salaam zenu nyote,

WANAWAKE WOTE WANAJIUZA= SI KWELI ( NI HAO TUU UNAOWANUNUA WEWE)

why such a topic jamani!!
mbona mwatuandama namna hiyo jamani kaka zetu, baba zetu, kina ankooo!!!

MY TAKE;

  1. najua hapa mtakuja mnaosema nimeumia kwa kuwa pia najiuza= si kweli
  2. ila pia kuna wale ambao wanaelewa majukumu ya mwanaume kwa mwanamke= hawakubaliani na kauli hiyo
  3. wengi mmesahau kwamba mwanamke anakuvutia kimapenzi kwa kuwa katumia gharama kujipendezesha= mnapenda wanawake wazuri, wasafi( kwa hela ya nani sasa? jiulize)
  4. KUMTUNZA MWANAMKE NI JUKUMU LA MWANAUME= HATA KAMA HUTAKI(ni agizo la Mola, ni nature, ndivyo ilivyo, na itabaki hivyo jamani)
  5. AU MNATUONEA WIVU WENZETUUUUU? = FUNGUKENI JAMANI

mnalalamika sana kaka zangu, ila nadhani pia ni ugumu wa maisha na pia wengine ni CHOYO ndo inasumbua.

We hela yako unataka ale nani kama sio mwanamke jamani?

haya tulale salama......na hapo umelala na mwanamke, na umemuita mwenyewe kwa kumbembeleza, ( hivi mnunuzi na muuzaji ni yupi anaebembeleza mwenzie?)

MTUPE HESHIMA YETU BWANA
 
hivi unakifahamu unachokiongea ACADEMIA TODAY mbona unaonyesha kama na wewe unajiuza!!!!
 
Wauzaji wengine wanabembeleza kweli, mfano muuza samaki..
 
......

....ACADEMIA TODAY.............

......Maoni yako hapa chini tafadhali !!!
 
sasa si ukatae

why ununue wewe then uje ucomplain!!

majangaaa

Waweza lalamika kwa muuzaji kama amekuuzia aliyeharibika , ni sawa na kununua nazi unafiika nyumban unakuta ni koromo....
 
Back
Top Bottom