madada na kucha ndefu mkono wa kushoto

madada na kucha ndefu mkono wa kushoto

Status
Not open for further replies.

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
623
Hivi hili suala la wadada au wakaka na kucha ndefu lina maana gani ? mimi zinaniboa sana
 
He who Jah blessed no one curse.Unachukia wakati ni maumbile na asili yao?Ingekuwa man made sawa,vp kuhusu Nkorogo?
 
Basi anzisha operation kata kucha.......maana wenye kucha zao ni urembo,ww inakukera!!!

So wakiwa kule 'ofisi kuu' huwa wanatumia makaratasi kujipakaza kinyesi au wanajikwangua na makucha yao hayo
 
So wakiwa kule 'ofisi kuu' huwa wanatumia makaratasi kujipakaza kinyesi au wanajikwangua na makucha yao hayo

Wanajua wao......hata akitumia mkono wa kulia tatizo li wapi????mkono mkono tu.......
 
imagesv.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom