Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,048
- 4,449
Mwanamke huyu kapigwa kibuti na mpenzi wake aitwae Jensen
Maisha yake yamebadilika sana baada ya kuachwa
Mda mwingi amekuwa akikaa mpweke na wakati mwingine hulewa pombe kupindukia
Wadada
Mnapoachwa na wapenzi/waume zenu chukulieni ni jambo la kawaida na mshukuruni Mungu kwa hilo, kwa kufanya hivyo itawasaidie kupunguza stress. Mwanaume anapokuacha atafurahi sana kukuona umeumia sana juu ya uamuzi wake na hupenda kukuona unateseka kwaajili yake, hii inamjengea kujiamini kuwa yeye ni kidume asiebabaishwa na mwanamke.
Lakini
Mwanamke anapoachwa na mwanaume na mwanamke huyu akaonyesha hali ya kutokujali kitendo hicho na akaendelea na maisha yake kama kawaida hii hali humtesa sana mwanaume, anajiona kama alikuwa hapendwi na huyo mwanamke hawezu kuwa na majigambo tena kuwa kakutosa bali atakuwa kama katoswa yeye.