Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mahari ni kama zawadi ya shukran kwa familia ya mwanamke juu ya malezi na ukuzaji. Sasa kama una mwanaume unampenda 500k ni ndogo kuoelewa Emu naombeni msaada Tumieni sana busara
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Mimi ni kijana fulani mdogo hivii, labda nianze kwa kuwaelezea sifa zangu ili nisaidiwe kwenye hili linalonikabili kwa sasa. Mimi ni mchamungu japo sio sana lakini ni mtu mstaarabu alafu mpole...
3 Reactions
144 Replies
16K Views
HERI YA PASAKA Leo rafiki yangu siku ya leo imemuanza vibaya baada mkewe waliozaa nae watoto wawili kutoroshwa na jamaa mwingine na kuachiwa watoto bado wadogo. Kiukweli inaniuma, hapa najaribu...
3 Reactions
42 Replies
7K Views
Nilikuwa na mpenzi wangu tulipendana sana ila tukajikuta tumeachana. Sasa jana kanipigia simu eti anaomba nimpokee mdogo wake nikae nae japo kwa mwezi mmoja amehamishiwa mkoa ninaoishi wakati...
1 Reactions
75 Replies
10K Views
Huu ukweli ukubali kama ulivyo na utakuweka huru hasa pale unapokimbiwa kipindi matatizo yako yamezidi uwezo wao kuvumilia. Watu wengi hawaji kwako kupata hasara hata kama watasema wanakuvumilia...
7 Reactions
4 Replies
344 Views
Ndio ilibidi niwapige wote ili waache ugomvi uishe.. Ilikuwa hivi... Mke wangu yuko kwenye bifu kubwa na mwanamke mwingine jirani yetu siku nyingi wamekuwa katika bifu ambalo kiukweli hata sijui...
1 Reactions
55 Replies
7K Views
Unakuta dogo anajipa moyo sana huku ameweka nyimbo za mapenzi aki reflect situation yake😂 Unakuta una experience ya haya mambo, 😂😂, muda mwingine unamshauri anakuwa mbishi kweli kwa hio unamuacha...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Katika jamii ya sasa kumekuwa na mkaranganyiko wa kifikra kutokana na kukosekana kwa elimu na mifumo sahihi inayoweza kutanabaisha mahitaji sahihi ya jinsia moja kwenda nyingine. Mwanaume...
36 Reactions
48 Replies
7K Views
Wadau habari ya muda Mimi ni kijana wa miaka 24 Niko hapa kuomba ushauri wenu na mawazo pia. Kimuonekano Mimi ni mrefu Nina urefu wa cm 187 pia Mimi ni mkimya sasa baada ya kumaliza masomo yangu...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Mtu anapokupa taarifa za mwenza wako kuwa yuko mahala fulani na mtu mwingine na inawezekana wanakwenda kufanya ngono, na wewe unapokwenda eneo la tukio kwa lengo la kufumania, huwa hasa dhamira...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Habari zenu wanajamii forum, Nimepata mpenzi ambaye hatuna muda mrefu, amekuwa muwazi kwangu nami nimekuwa open kwake. Amenieleza kuwa ana mtoto ingawa haiwezekani yeye kuoa huyo mzazi mwenzie...
3 Reactions
64 Replies
11K Views
Umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini hajajihangaisha kukujibu. Ukaamua kuiweka simu pembeni kuendelea na mambo mengine baadae unarudi bado unaona kimya hajakujibu...
12 Reactions
56 Replies
12K Views
Habari zenu,biashara hii ya ngono imeshamiri sana, maeneo mengi tanzania ukiwemo mkoa wa MWANZA, lakini kinachonikera zaidi ni nyumba ambazo zimepangshwa na hawa madada poah,na biashara hii...
1 Reactions
60 Replies
23K Views
Jana jioni nilienda kumtembelea jamaa yangu kigamboni,tukiwa kwenye jengo la kungoja mtumbwi/pantoni nikawa nimekaa kwenye viti vilivyomo mle ndani karibu na sehemu ya kuingilia. Hivyo nikapata...
1 Reactions
97 Replies
13K Views
Wadau naombeni ushauri, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana kwa dhati. Tulifika hatua ya Kuomba kibali kwa wazaz ili tuishi pamoja kama wanandoa lkn mambo yakabadilika ghafla...
2 Reactions
89 Replies
9K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! Leo nilikuwa Karambezi hapo Sea Cliff, jioni tu kupitisha mda nianze kuingia viwanja vya maana. The thing about Karambezi is very...
26 Reactions
294 Replies
33K Views
Jana nikiwa nimekaa ufukweni, pembeni kuna wadada nao wamekuja kupunga upepo, akapita mwanaume tumbo wazi, sijui tumbo la bia lile, wadada wakacheka sana na kuambizana, mwanamke wa huyu mwanaume...
1 Reactions
217 Replies
30K Views
Kuna watu wanafanya kwa makusudi kukomoa wengine, ila wengine inatokea tu na unajikuta hauna jinsi. Kuna dada kula mtu mtaani alijua ni mpenzi wa jamaa fulani, lakini siku nakutana nae...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Wadau nawasalimu, Mke wangu ni mkorofi sana, naweza kusema hivyo, Jumapili nilikwenda kupata huduma za Barbershop iliyo mtaa wa pili kutoka mtaani kwangu, hii ni pamoja na kunyoa, scrub na mwisho...
15 Reactions
169 Replies
18K Views
Kama kawaida katika harakati zangu za uchakataji wa papuchi wakuu , Hamuwezi amini Nimekutana na Bikra ,Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 7, awamu hii ndio nimekutana na Bikra,sio Bikra tu ni...
20 Reactions
79 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…