Mke wa msela wangu katoroshwa

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,616
HERI YA PASAKA

Leo rafiki yangu siku ya leo imemuanza vibaya baada mkewe waliozaa nae watoto wawili kutoroshwa na jamaa mwingine na kuachiwa watoto bado wadogo.

Kiukweli inaniuma, hapa najaribu kumtuliza jamaa angalau hata ale lakini imeshindikana.

Duu wanawake mna roho mbaya kinoma!
 
Tumekuwa tunasisitizwa tusiishi kwa Mazoea labda yeye katafsiri tofauti.
 
HERI YA PASAKA
leo rafki yangu siku ya leo imemuanza vibaya baada mkewe waliozaa nae watoto2 kutoroshwa na jamaa mwingine na kuachiwa watt bado wadogo.kiukwel inaniuma hapa najaribu kumtuliza jamaa angalau ht ale imeshindikana.duu wanawake mna roho mby kinoma
mtafutie mwingine wewe
 
Achunguze katorokea wapi,na kama alienda kwenye uzinzi basi amsindikize kwa kumfungashia virago vyake vyote.
 
Hakuna mwanaume wa kutorosha mke these days
huyo kaazimwa tu kwa sikukuu
jumanne mkewe atarudi apunguze presha....

siku hizi wanawake hawatoroshwi...wanaondoka wenyewe na kurudi
Sanaaaaaaaaaaa hatoroshwi mtu hapa,kwanza hata hiloneno kutoroshwa sijalisikia kitambo!
limepotea kabisaaaaaaaaaaaa,leo huyu jamaa kanikumbusha tena...lol
 
HERI YA PASAKA

Leo rafiki yangu siku ya leo imemuanza vibaya baada mkewe waliozaa nae watoto wawili kutoroshwa na jamaa mwingine na kuachiwa watoto bado wadogo.

Kiukweli inaniuma, hapa najaribu kumtuliza jamaa angalau hata ale lakini imeshindikana.

Duu wanawake mna roho mbaya kinoma!
Hata nyie mnatorokaga wanawake zenu na kwenda kwa vimada, case za nyinyi kutorokwa ni chache sana, watoto wana umri gani kwani? mpoze mwambie alee asiumize kichwa sana akapoteza muelekeo mana atapoteza na muelekeo wa watoto. hao watoto watakuwa tu, kama vipi awapelekea kwa dada au mama yake kwa mdua wakati akitafakari, baadae atafute mwanamke mwengine, ila kama ni wadogo sanaaa awapeleke kwa mama yake mke wake au dada yake mke wake, halafu wao watajua ndugu yao yuko wapi na watajua chakufanya. kama unahisi huko kote watoto wataenda kuteseka tu, basi baki nao na mdada wa kazi, maisha yaendelee fanya ndo amekufa angefanyaje?
 
HERI YA PASAKA

Leo rafiki yangu siku ya leo imemuanza vibaya baada mkewe waliozaa nae watoto wawili kutoroshwa na jamaa mwingine na kuachiwa watoto bado wadogo.

Kiukweli inaniuma, hapa najaribu kumtuliza jamaa angalau hata ale lakini imeshindikana.

Duu wanawake mna roho mbaya kinoma!
Kwanza mke wa rafiki yako kwanini wewe ikuume? huyo rafiki yako mwambie ale kimshuke asijikondeshe
kama mkewe wa Ndoa ajipange kutafuta mwengine na kuhusu watoto awapeleke kwabibi yao au amlete bibi
aje kulea wajuku zake,mtu mzima Hatoroshwi amesha zaa anajua umuhimu wa Watoto,mwambie rafiki yako
aseme kweli nini kimejiri Pasaka hii ameshindwa kutimiza majukumu yake au?
 
usiuzunike maishani kwa kitu "mwanamke" hanagaishwa na fedha.
peleka watoto kwa dada yako, wagharamie.feel free!
 
Back
Top Bottom