Wadau naombeni ushauri, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana kwa dhati. Tulifika hatua ya Kuomba kibali kwa wazaz ili tuishi pamoja kama wanandoa lkn mambo yakabadilika ghafla tulipotenganishwa kikazi. Mimi nilipangwa mwanza na yeye huko lindi, cha kunishangaza alikuwa anakata mawasiliano siku hadi siku. Baada ya kudadisi nikagundua kuwa tayari ameingia kwenye masusiano na kigogo mmoja wa halmashauri na tayari ana mimba yake. Nifanyejeee!!!