Unapokwenda kufumania, unajenga au unaharibu ndoa?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
20,330
38,469
Mtu anapokupa taarifa za mwenza wako kuwa yuko mahala fulani na mtu mwingine na inawezekana wanakwenda kufanya ngono, na wewe unapokwenda eneo la tukio kwa lengo la kufumania, huwa hasa dhamira inakuwa ni kujenga ndoa au ni kuibomoa!?
 
Mi kawaida yangu mtu anaenitonya upuuzi afanyao mke wangu lazima nizae nae kwanza!
What for? ni kuniongezea stress na kunivurugia mipango yangu ya kufukuzia ngawila tu!
mwache aliwe tu make kuchepuka pekee inatosha kudhihilisha kwamba haniheshimu so why nikashuhudie upuuzi wake huko aliko??
 
Swali la msingi ambalo linastahili kuulizwa ni: wewe uliye kwenye ndoa unapoamua kuchepuka unakuwa unajenga au unaharibu ndoa?

Manake kama usipochepuka hayo mambo ya kufumaniana wala hayatakuwepo!
Mtu anayechepuka yeye mwenyewe humo kwenye ndoa ndiyo yuko mguu nje mguu ndani!!
 
Mtu anapokupa taarifa za mwenza wako kuwa yuko mahala fulani na mtu mwingine na inawezekana wanakwenda kufanya ngono, na wewe unapokwenda eneo la tukio kwa lengo la kufumania, huwa hasa dhamira inakuwa ni kujenga ndoa au ni kuibomoa!?
itakua ni maajabu mtu upewe taarifa mkeo yuko guest na mtu fulani halafu wewe ukae uanze kufikiria eti nsiende kufumania maana ntakua sijengi ndoa.......sasa kwe situation kama hio tena unaanza kufikiria kujenga ndoa labda kama ndo mahaba niue
 
Wapo wanaofumania na kuendelea na wenza wao kama hakijatokea kitu vile!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom