Biashara ya ngono Mwanza yakithiri

Biashara ya ngono Mwanza yakithiri

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
760
Habari zenu,biashara hii ya ngono imeshamiri sana, maeneo mengi tanzania ukiwemo mkoa wa MWANZA, lakini kinachonikera zaidi ni nyumba ambazo zimepangshwa na hawa madada poah,na biashara hii kuendelea hadi mchana,kilichonikera zaid had watoto wenye miaka 13-16 wakijihusisha ktk biashara hii,mfano-leo nimeshuhudia mtoto wa miaka 13 akichukuliwa na mjibaba mwenye takriban 40-45 yrs kwa buku 5..je,hii kwel ni haki?...next time nitataja maeneo hayo ili VIRANJA wafatilie..kwa undani! UPDATEDBOY
 
  • Hili tatizo si la mwanza pekee. Ni maeneo mengi ambayo yameripotiwa kuwa na hii biashara ya ngono.
  • Mfano kuna huu uzi hapa
    Code:
    [URL]https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/533420-mambo-usiyoyafahamu-kuhusu-biashara-ya-ngono-mitaa-ya-manzese-mitaani-na-guest-house-3.html[/URL]
  • Swala kubwa la kujiuliza na kulijadili ni nini kifanyike ili kuwanusuru hawa watoto wadogo na kupunguza kasi ya hili tatizo?
​Karibu.
 
maisha magumu wazazi wanatelekeza watoto hapo ndio tatizo la ukahaba linapoanzia wazazi tujirekebishe tupende familia
 
maisha magumu wazazi wanatelekeza watoto hapo ndio tatizo la ukahaba linapoanzia wazazi tujirekebishe tupende familia
Umenena vyema,lakini wengine hawatelekezi familia ila watoto wenyewe wamekua hawajitambua kabisa,utandawazi unawadanganya,ni wakati wa wazazi kulea familia zao vyema na kuwaongoza katika maadili mema na wafundshe kuwa na hofu ya Mungu nayo inasaidia sana
 
Teh teh wacha watu waenjoy bana, hao watoto jina tu mkulu ila viounon n bib zako!

Mara kibao me nakutana nao maeneo ya jij,hata pale stand yat post wapo
 
Teh teh wacha watu waenjoy bana, hao watoto jina tu mkulu ila viounon n bib zako!

Mara kibao me nakutana nao maeneo ya jij,hata pale stand yat post wapo

hata kama,bt they stl our youngs xo lets unite and stand against ths!
 
ndio ni pesa na njaa,2tawaxaidiaje?

^^
Ni vema ukisema "ni-tawasaidiaje" kuliko tutawasaidiaje maana mkono utoao pasipo wengine kujua hubarikiwa.
Fanya hivyo Mkuu dunia ya sasa,,wengine wanafurahi kuwaona pale kwani ni mtaji.
^^
 
Maisha bora kwa kila mtanzania,wenye slogan hiyo wanasema hayo maisha bora hayatakufata mlangoni kwako,hizo na fursa za ajira walizohaidiwa na ccm
 
Ninachoshangaa wateja wao mnakuja kulalamikia humu,mkikutana nao hata hamsemi kitu nyie nikununua tu commodity

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Maisha bora kwa kila mtanzania,wenye slogan hiyo wanasema hayo maisha bora hayatakufata mlangoni kwako,hizo na fursa za ajira walizohaidiwa na ccm

xo xoln ya hapo n nin?
 
Maisha bora kwa kila mtanzania,wenye slogan hiyo wanasema hayo maisha bora hayatakufata mlangoni kwako,hizo na fursa za ajira walizohaidiwa na ccm

dah,hyo mi nadhan c ajira hata kdogo bal ni kujira
 
Back
Top Bottom