lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,160
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
Leo nilikuwa Karambezi hapo Sea Cliff, jioni tu kupitisha mda nianze kuingia viwanja vya maana. The thing about Karambezi is very affordable, like for 50K unaweza kunywa Margarita or Cocktails hata 3 na chakula. Hii mainly kwa sisi tunaopata entertaiment expense account kwenye account zetu, kuentertain suppliers, clients. You just go and chatge the company later. Sasa mwaka huu my tab imekatwa imebaki robo, hapo ujanja sinaaa, zaidi ya kuzijua sehemu affordable. Since nishafanyaga kwenye kampuni za vinywaji, it was my job then kwenda kwenye hizi hotels, restaurants, lounger, casino, bar for customer relationship meetings so najua sehemu nyingi, rates etc coz i used to keep their menu kuona prices wanazouza drinks zetu.
Sasa nikiwa Karambezi, kachoo kao kamejibanaa hatari, akaja mdada akanivagaaaa! Tobaaaa! Hapo na mawazo yangu nichukie hela niondoke au nibakie kwenye management ya wajerumani, ambapo hata entertainment tab unapewa robo jst like that sasa sijui hao clients uwapeleke kwa mama ntilie. Nyau wakubwaaa. Akanivagaaaaa, dada nimelewa sanaaa naomba nipeleke kwangu will pay you $500, mmmmmmh! Nikaona huu utapeli mpya mjini nini? Hapo ukimpeleka wanakupeleka porini wanakukomba kila kitu.
Nikamchunia tuuuu. Akakomaa, kalewa njwiiiii, kafungua pochi lake, look, look i have $5000 kaanza kuhesabu. Tobaaaaa! $5000 kweli. Manake kwenye mkoba katoa bunda la $100 kama 30, na kwenye chupi ana $2000 kazikunja kunja tu. Loooooooh! Jicho lilintokaaaaaa. Nikasema sijui nikakabe haka huku chooni nichukue huo mpungaaaa, maninaaaa. Asubuhi naenda kumtukana mjerumani J4. Nikamuepusha shetani nikatoka baru kule chooni.
Ila nikawa nafatilia ni nani yule mdada anatembea na $5000 kimaandazi na hana 24yrs yuleeee. Baadae nikaona wahudumi wa Karambezi wamtoanje ila aliwadanganya ana $2000 tu, sasa sijui walimpeleka wapi, maana alikuwa hata hajisomi. Na kama hawajamuibia sijuiiii. Maana kesho hata hakumbuki. Ndo figisu figisu ni kuwa kanajiuza tu mitaa ile kale kadada. Daaaaah!
Nikawaza tu mtu, you go to school, you hustle, unasoma madude magumu, una persvere unaweza hata usipate kazi, au ndo ukapata kazi zetu za $300. Hahaaaaa! Na familia yako. Ukibahatika ndo $1000 kwa siku 30. Dont mention the hours you put in kwenye hio job. Kutembea na $5000 kwenye pochi sahauuuuuuu! Bank tu hiko koasi kama Mungu akikujalia kukishika hakikai hata mwezi humo. Sasa mtu kama yule dada bank ana bei gani labda? Duuuuuh! Acha hizi trip za nje wanazopiga za dubai, wapi wapi kula bata tu. Sema tu hela ya kuuza papa hela ya shetani huifanyii kitu. Ila memories tu unajenga maghorofaa ya memories.
Kuna Mnigeria buzi langu la mda, sema nilikuwa sijaliwekea maanani maana nililiomba $3000 likaniambia njoo Dubai, nikawaza yani nikaliwe kwa $3000 tu bora niendelee kumuomba Mungu tu. Nime li skype aiseeeeee. Sahivi naenda nalo sambamba nini Dubai nitalifata mpaka Lagos.
IN THIS LIFE YOU GET FEW CHANCES IF YOU DONT GRAB THEM BY THE BALLS YOU WILL END UP WONDERING HOW YOU BECAME SECOND RATED.
Dont pay attention, it just me, couple of coktail, and work stress thinking! JESUS IS ALIVE AND COMMING TO PUT $10000 IN YOUR ACCOUNT. Happy Easter.