Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wandugu, Leo ni siku iko tofauti si kidogo, imetokea nikiwa sitarajii rafiki wa mpenzi wangu kaniletea bahasha najuwa ni zawadi kumbe ni line za simu na kaujumbe kakuachwa kenye maneno...
3 Reactions
207 Replies
22K Views
Nikimuona mdada anayeuza heshima yake na thamani kwa kuamini akitoa nyuchi yake ndio atamvutia mmanaume kuwa comitted na kumpenda kwa dhati ninashangaa nakufananisha na muuza karanga anayekuja bar...
9 Reactions
19 Replies
3K Views
"Based on a True Story " SEHEMU YA 1 "Tina! twende baba yangu amekuja" Haya ni maneno ya rafiki yangu Emmy mchana ya Siku ya jumamosi ya mwisho wa mwezi. "Mmh! Wewe nenda ukirudi utanikuta"...
21 Reactions
302 Replies
16K Views
Kwenye kutongoza mdada umewahi kukutana na changamoto gani kutoka kwake? Ulitumia njia gani kumzima pale ulipoona anakuja juu na maringo kibao? Ni neno gani ulilomwambia mwanamke hadi akashindwa...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi...
68 Reactions
246 Replies
10K Views
Mwanamke akikwambia vaa condom usikatae na muheshimu sana.
34 Reactions
163 Replies
7K Views
Katika maisha ya ujana tunakutana na mambo mengi sana, mengine ya kutisha na mengine ya kawaida. Binafsi katika ujana wangu nimepitia mambo mengi mazito, nimeumizwa sana katika mapenzi na...
17 Reactions
124 Replies
14K Views
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost...
30 Reactions
128 Replies
5K Views
Naam ni kama miaka miwili imepita nikiwa na mtoto wa chuo Mimi pia nikiwa chuo tafauti, mtoto nimezama nae penzini baada ya kama kukutana kwenye sita kwa sita kama mara nne siku Moja mtoto...
34 Reactions
194 Replies
9K Views
Umoja wa Wanawake nchini Rwanda unapanga kupeleka ' Muswada ' maalum Bungeni huko ili iwe Sheria rasmi ambao utawataka Wanaume wote wa Kinyarwanda Kuoa Wanawake ambao wako tu ' Bikira ' na kwamba...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba. Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini. Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale. Sisi mlituona tupo kama walimu wa...
109 Reactions
438 Replies
16K Views
Je ulishawahi kutoka kimapenzi na Rafiki wa mpenzi wako? Binafsi nilipita na marafiki watatu wa mpenzi wangu kwa mpigo na wote walikuwa wananipenda cha kushangaza licha ya kuja kujuana hawakuwahi...
9 Reactions
112 Replies
20K Views
Ndugu zangu, i don't have someone to talk to lakini mawaidha fulani fulani katika hii platform yamenijenga kiasi. Naomba ndugu zangu muweze kunisaidia kung'amua hili jambo nahisi litanipa...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu Atakaye kuambia mapenzi ni pesa basi atakuwa anakudanganya na usimwamini. unaweza kuta mtu ni fukara,na kula yake ni mpaka aende vibaruani ila ana wake wawili na wanamuelewa vizuri tu hali...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Wanandoa wengi makadilio ni 70% ya wanandoa wanaishi kama maadui ndani ya nyumba yani hawana upendo kabisa ukifikili kwa undani ni mabadiriko ya akili ambayo ufanyika kwa wanandoa wengi sana...
0 Reactions
10 Replies
608 Views
NDOA SIO GEREZA. WANAOSEMA NDOA NI GEREZA NA NDOANO NI WAPOTOSHAJI WAKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mapenzi na ndoa msingi wake Mkuu ni UPENDO na MFANANO. Unapotafuta mwenza wako wa...
3 Reactions
13 Replies
779 Views
Ambao hamjaooa huwa mnafanya nini kuondoa upweke uwapo ghetto? Tiririka tupate maujuzi nasisi.... Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
6 Reactions
12 Replies
838 Views
Haya siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanamke mwenzenu, huyu mama kaongea kwa uchungu sana maana ndiyo ukweli wenyewe wa kinachoendelea kwa sasa. Dada na wadogo zetu wa kike msipoamka kutoka...
12 Reactions
61 Replies
3K Views
Kama hujaoa tuambie nini kimekufanya hujaoa au kuolewa hadi sasa. Changamoto gani umepitia hujaoa hadi sasa au hujaolewa hadi sasa.
21 Reactions
174 Replies
6K Views
Inasemekana kwamba siku ambayo Mpenzi / Demu / Mkeo akijua kuwa anaenda Kukusaliti / Kubanduliwa na Mwanaume / Njemba mwingine huwa anakuwa anakuchangamkia mno tena kupita kiasi au siyo kama...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Back
Top Bottom