Weee uliye tuu ucheke una mbavu????
Hope you are all good!!
Najua wengi mtakuja na matusi na kashfa kibao lakini message sent and delivered.
Men you should train yourself bhana mnaboa sana...
Jamani jana alikuja wifi/shemeji yenu toka kijijini kwani nilimwacha baada ya kupata kibarua hapa mjini, kama ilivyo kawaida ya wanaume tulio wengi haturidhiki(mungu atusamehe) niliamua kuwa na...
1. The husband is always right
2. The husband is always the master
of the family even if he doesnt work
3. The wife must ask for permission
from the husband before going in bed
as well...
Napenda kutahadharisha kwamba, picha unayoiona hapo juu haihusiki moja kwa moja na tabia nitakazozitaja kuhusu wanawake wenye sura kama hiyo. Sura hiyo nimeiweka kama kielelezo tu.
Sura...
Nazani itakuwa inawagusa wengi wake kwa waume,unayakumbukaje maisha yako ulipokuwa bachela na unayaonaje maisha yako ukiwa ndani ya ndoa.
Kwa upande wangu mimi nikikumbuka life yangu ya ubachela...
Weekend iliyoisha nilipata kumtembelea dada yangu mmoja (family friend) ambaye niliyepotezana nae muda mrefu kidogo, inshort amejaliwa kupata watoto watatu na wote wa kike wa kwanza yuko chuo...
what are your opinions jamani..
when your partner moans and talks dirty?.. funguka some of your experiences..
huyu bibie totally got turned on when I would moan LOL
I think it is one of the...
Huyo binti kka ndo kamaliza duce alikuwa anasubiria graduation alimfumania mumewe na house girl chumbani kwake akiwa kajificha chini ya uvungu baada ya hapo akagombana na mumewe kisha akarud...
Siku zote nafahamu wanawake ni viumbe vyenye akili mbili tatu.So dnt take it into advantage kwamba jinsi mlivyo wadhaifu ndo mkose hata akili ya kujielewa na kujitambua.
Siku zote msitake kuforce...
Basi katika pita pita zangu.... nikakumbana na hii story yaweza isiwe ya kweli... lakini kuna funzo twaweza kujifunza.... jamaa mmoja baada ya kusikia stori kuwa muda mrefu wife ake anatembea na...
Nimeichukua hii remarks kutoka kwenye uzi hapa hapa... nadhan kuna haja ya kujadili hii kauli ya kina dada baada ya kumtongoza anakuajibu umenipenda au unanitamani tu? je inawezekana kumpenda mtu...
Leo nilipata mualiko wa chakula cha mchana kwa binti mmoja ambaye ni rafik yangu.
Sasa uyo binti alitumia muda mwingi kuandaa chakula lakin nilipokula chakula kilikuwa kibaya sana lakin cha ajabu...
^^
Kila mmoja ana mipaka yake ya kulinda heshima ya utu wake.Kanuni alizojiwekea mwenyewe ili kumpata aliyewake au ataekizi mahitaji yake.Ni kama ulinzi fulani unaokuepusha na wasio stahili...
Habari zenu wanajamvi,
Kwa muda sasa kuna swali najiuliza lakini nakosa majibu.Hivi kupenda kunahusiana vipi na kutamani?
Kwa fikra na uelewa wangu ni kwamba lazima uvutiwe na kitu kutoka kwa mtu...
Waungwana, katika maisha ya ndoa kuna wakati utafika mama anakuwa katika hali ya ujauzito.
Kina mama wanapokuwa katika hali hii wengi hupoteza kabisa hamu ya kufanya mapenzi.
Mwanaume kama...
Miguno ya Kimapenzi Kutoka Chumba cha Jirani Inanihamasisha
Mimi ni Kijana wa Miaka 25, nimeanza kazi hivi karibuni ikanilazimu kutoka nyumbani na kupanga maeneo ya kijitonyama ...Sasa...
Nimejaribu kudurusu sheria za Tanzania bara na hasa sheria ya Makosa ya Kujamiiana au kwa lugha ya kwini wa Uingereza Sexual Offences Special Provisions Act (1998) ambayo ililetwa na serikali...
Ni suala ambalo nimekuwa nikijiuliza sana na mara kwa mara kwa kizazi chetu hiki chashake well before use,yaani hakuna kuoa au kuolewa na mtu bila kumjua kiundani zaidi au kimwili.Na hali halisi...