josephmasamaki
Senior Member
- Apr 27, 2011
- 163
- 84
...sasa nani anakuwa raped?
na hilo tobo ndo linasababisha hii rape..^^
Haka ka dunia kametoboka chini
^^
na hilo tobo ndo linasababisha hii rape..
^^
Ngalikihinja
Yaani watu hawana hofu tena..wanafanya wapendavyo utadhani ka dunia wamekatengeneza maabara
^^
^^
Ngalikihinja
Yaani watu hawana hofu tena..wanafanya wapendavyo utadhani ka dunia wamekatengeneza maabara
^^
Lakini kaka ukisoma vizuri inaonesha hawajaanza leo wala jana ni miaka kadhaa kabla ya kristo...
Ngoja nifunge macho mengine yanipite tu