Nazani itakuwa inawagusa wengi wake kwa waume,unayakumbukaje maisha yako ulipokuwa bachela na unayaonaje maisha yako ukiwa ndani ya ndoa.
Kwa upande wangu mimi nikikumbuka life yangu ya ubachela huwa natamani irudi tena sikuwa na mtu wa kunifuatilia maisha yangu hata ningerudi asubuhi poa tu.
Nilikuwa naweza kukaa mda mrefu bila kugombana na mtu ndugu zangu walikuwa wananipenda nilikuwa na marafiki wengi lakini lakini unapokuja kuoa ni sawa na nguvu za sumaku zinazofanana.