Holding Principles.. Imekusaidia au Imekuharibia Mahusiano?

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
5,534
Reaction score
4,193
^^
Kila mmoja ana mipaka yake ya kulinda heshima ya utu wake.Kanuni alizojiwekea mwenyewe ili kumpata aliyewake au ataekizi mahitaji yake.Ni kama ulinzi fulani unaokuepusha na wasio stahili.
....
Lakini tujadiliane na kupeana uzoefu kidogo,je hizo principles ulizojiwekea zimekuwa msaada kujenga mahusiano au zimebomoa na kukuachia huzuni? Mfano wanaoamini kuwa mwenza awe hivi au vile,au kabila fulani mi sitaki, pengine kuoa/kuolewa na mwenye mtoto sitaki n.k n.k
....
Je umekutana na changamoto zipi ambazo ungependa kutahadharisha wengine?
Tujadiliane
^^
 
Principle yangu ya kusema sitofanya ngona mpaka niingie kwenye ndoa ilinipotezea mpenzi wangu white niliyempendaga yaani we acha usinikumbushe.Hii principle ilinifanya nitungwe majina mabaya kama Govi,nyoka wa kibisa,zoba,na mengine kibao mabaya kutokana na kujitunza kwangu.
 
Ha ha hayo majina! Lakini vipi uliiacha ndio ukampata aliye wako?

Niliona ujinga baada ya kumegewa nikaona bora nianze kula vichwa kama kawa baada ya kumaliza form 6.Hadi leo kale kamchezo kameniteka balaa.
 
Ngoja ngoja naonekana mjinga, kwa sababu nilimpenda kweli, kwa sababu nilimpenda kwelii,

Mkuu niliwahi tokewa na kisa kama cha kwako hivyo hivyo, bahati mbaya aaliyenizunguka ni the closest friend.

Bro wetu mmoja akawa amejitunza weeee, siku uzalendo ukamshinda, kunyoosha tu goti, Penalti!!!! sana ana mtoto kabla ya kuoa. its crazy sometimes.
Principle yangu ya kusema sitofanya ngona mpaka niingie kwenye ndoa ilinipotezea mpenzi wangu white niliyempendaga yaani we acha usinikumbushe.Hii principle ilinifanya nitungwe majina mabaya kama Govi,nyoka wa kibisa,zoba,na mengine kibao mabaya kutokana na kujitunza kwangu.
 
Principles have shaped who I am today. Even though hell broke loose later but I am proud of the woman I grew into.
 
umeshaoa?
 
Principle yangu ya KUCHUNA (HATA UWE NANI UNACHUNWA TU! KUCHUNA NI JADI YANGU!) imenisababishia kuonekana sio wife material na mtu wa gharama sanaa!

Ila sijutii na wala sitobadilisha hii principle. USIPOHONGWA WEWE JUA ANAHONGWA MWENZIO! Inahuuuuuuuuu! Najihazari kabla ya hatari!
 
Ha ha napenda uwazi wako,,
Lakini vipi,, mla vya wengine na vyake huliwa..msemo huu una mashiko kwako ?
^^
 
Principles have shaped who I am today. Even though hell broke loose later but I am proud of the woman I grew into.

^^
Nice Karucee I love that,, are those principles still valid todate?
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Nice Karucee I love that,, are those principles still valid todate?
^^

Some are no longer applicable. They were there when I was sober, and through my drunken years kept me from straying too far away into oblivion. ha ha
 
Principle yangu ya kusema sitofanya ngona mpaka niingie kwenye ndoa ilinipotezea mpenzi wangu white niliyempendaga yaani we acha usinikumbushe.Hii principle ilinifanya nitungwe majina mabaya kama Govi,nyoka wa kibisa,zoba,na mengine kibao mabaya kutokana na kujitunza kwangu.

Pole sana kwa yote,.
 
Je bado hujampata mpaka leo a.k.a bado u mwanamwali? (haijalishi ME or KE plz)
 
My principle of never dating married man imenicost kiasi kwamba sioni maana ya mapenzi tena laiti ningeona nikawaida labda ningekuwa bado na moyo wa kupenda, ni baada ya kudate married man for 3years bila kujua nimekuja kujua I was disapointed ever hadi naona better to die alone kama maisha yenyewe ndo hivyo!
 
....nakumbuka main principles nilizowahi weka ni kuhusu dini, na mwiko kutoka na mume wa mtu, au mwanamume mwenye watoto..na mwanamume ambaye ni mfupi kwangu lol! guess what? it paid in the end, with prayers of course! alipatikana ambaye nilikosa sababu ya kutokuwa naye..kwahiyo kama zipo, unazo usiache kuwa nazo... you should have them huku ukikumbuka pia kuongea na aliyekuumba, atakuja in time yaani mpaka utashangaa na kujiuliza "hivi alikuwa wapi huyu miaka yote?" kwa jinsi ambavyo atakuwa "perfect" kwako wewe (ni kweli kuwa hakuna aliye mkamilifu lakini atakuwa anakaribia karibia)
 
Principal zangu za kusoma sana O level zilinifanya nimpoteze my first girlfriend coz alisema simjali bali nawaza kusoma tu evrytym.
 
Je bado hujampata mpaka leo a.k.a bado u mwanamwali? (haijalishi ME or KE plz)

Ninae ila sio yule niliyemzimikia na kuamua kujitunza kwa ajili yake kumbe yeye anatafsiri mi nina matatizo au mwanaume mwenye mapenz yakizamani.Isitoshe alikuwa white arafu mi ndo kitu kikubwa kinachoniteka.
 
Back
Top Bottom