Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

habari wana jf.. inatokea unamuacha girlfriend/boyfriden wako na ukabaki single? au inatokea pale unapomuona mzuri zaidi ya ulienae? NOTE: hujamfumania wala kumkuta na mwanaume mwengine
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mungu aliumba dunia.mapenzi tangu na tangu yalishanipiga sasa sina budi nielewe,siwezi kun'gan'gania wala siyo fungu langujapo ni shida ila nitabaki mwenyewe ila nashukuru kwa kuumiza sura yangu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 27.Ninauhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwenye umri wa miaka 33 kwa muda wa miezi mitano sasa. Tatizo langu ni kuwa kila tufanyapo mapenzi huwa nashikwa na...
1 Reactions
63 Replies
8K Views
tunamaanisha anasimamia show muhimu kama vile Kumtoa out mwenzake, hela za lace wig, mavazi, vizawadi vya hapa na pale, perfume na mambo kibwena -Sasa wew mwenzetu kujali unadhani ni kujiunga...
2 Reactions
0 Replies
841 Views
Huwa inatokea sana hasa kwa wanaume unapomtamani sana mwanamke na sometimes unaogopa kumwambia labda kwa kuhofia kuwa hauna hadhi au yeye ni matawi ya juu na wewe ni ya chini au sometimes kwa...
10 Reactions
104 Replies
12K Views
Ndugu zangu ivi mwafahamu kuwa Bao la Usingizini... yaani unaota uko ktk mapenzi afu ukakojoa ndotoni... mnahabari kuwa hakuna bao taamu,satisfying,linalochosha na kulegeza viungo kama lile...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Wana JF wasalaam. Nimekaa nikifikiri na kuwaza, lakini hadi sasa sijapata jibu kamili. Katika maisha, kuna kuunda uhusiano wa kimapenzi. Mwanaume anampata msichana kama mpenzi wake na wanafikia...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
wana mmu, wote si wazima lakini?? si ndiyo?? basi bwana, mi leo naomba tuzame kwenye suala la kabumbu zaidi, naomba tusemezane kuhusiana na hawa jamaa washabiki wa mpira wanavyodisturb...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Slim might be in elsewhere but for Ethiopia's Bodi or Me'en people, bigger is always better. The tribe, which lives in a remote corner of Ethiopia's Omo Valley, is home to an unusual ritual...
2 Reactions
140 Replies
15K Views
Wadau nahisi kupoteza uzoefu wa kutongoza kwa sasa maana mabo ya siku hizi technologia imerahisisha maisha tofauti na Enzi za kumvizia mtu migombani na kisimani/bombani! nahisi...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
kuna jamaa anapenda wanawake wazee, ameshatembea na wanawake walio na umri sawa na bibi yake,, tatizo linaweza kuwa nini?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
mapenzi kujiongeza, mkono mtupu haulambwi... Mademu wa Mjini wanaishi kwa Mbinu sana.Wanaishi kwa ile Methali ya Wahenga wa Zamani,Mkono mtupu Haulambwi.. We ukikazana na I love You I...
18 Reactions
60 Replies
7K Views
Hivi ndivyo jinsi msichana anayejiheshimu na kujielewa anavyotuma SMS kwa mpenzi wake; "Hi honey,Im just out of work heading for lunch now.I wish I could see you.Take care,good day and lv you.Dont...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta rafiki wa kiume mwenye umri kuanzia miaka 36, hadi 45, mwanamume aliye mseja atafaa zaidi au mjane, awe msomi mwenye kazi yoyote yenye kipato cha halali, awe anaishi dar, mie ni mkazi wa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mapenzi umpate akupendae
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Naitwa Masele, natafuta rafiki aliyeajiriwa na serikali, awe mwenye busara, heshima, mwenye weledi na kazi, mtanashati, awe kwenye wizara, taasisi, mamlaka au shirika la serikali. Tafadhali, kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
20 Marriage Tips Everyone Needs to Know Below are 20 wise marriage tips from a man that was recently divorced. You wouldn't normally think that a divorced man would give good advice on being a...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimekuwa najiuliza sana hili kwa muda mrefu sana Kuna kauli kama za "watoto wa siku hizi hawasikii" au "hawa watoto wa .com hovyo kabisa" Hiyo kauli ya .com ni ya kisasa kidogo ukilinganisha na...
7 Reactions
85 Replies
11K Views
Kwa upande wangu napendelea nimpeleke kwenye swimming pools au beach safi zilizotulia(za kulipia) wadau ni sehemu zipi ndani ya jiji zenye swimming pools ambazo tunaweza enda kuogelea? Just ziwe...
1 Reactions
60 Replies
18K Views
Leo nimeamua kupasua jibu. Nalishika pembeni na kulipasua PHWAAA! Mi mke wangu alikua na vituko vya kila aina. Nililalamika sana na hatimae nikaamua kujitwisha mzigo wangu na kuukubali. Ila wakati...
12 Reactions
51 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…