I am ready to die for you

I am ready to die for you

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,878
Reaction score
10,515
Mapenzi umpate akupendae

541484_632074886838894_1899144435_n.jpg
 
Juzi ikaja sms 'd naomba credit mwenzio nina shda' nkatuma jero nkajua anataka vocha! Nkaambiwa 'sasa d hyo si vocha mimi nilikua nataka ninunulie meza ya kusomea' ------- yani mizinga ndo imerahsishwa hadi kuitwa credit!
Kamwambie baba ako .
 
kabla ya kumwambia kamwambie babako ungeanza na neno 2mbav
 
duh ila kunajamaaa kaleta akasema shemiji yake amemwambia........ but its all about money...
 
Juzi ikaja sms 'd naomba credit mwenzio nina shda' nkatuma jero nkajua anataka vocha! Nkaambiwa 'sasa d hyo si vocha mimi nilikua nataka ninunulie meza ya kusomea' ------- yani mizinga ndo imerahsishwa hadi kuitwa credit!
Kamwambie baba ako .
ha ha ha ha vocha ni vocha,, creidit uingize hela...
 
Juzi ikaja sms 'd naomba credit mwenzio nina shda' nkatuma jero nkajua anataka vocha! Nkaambiwa 'sasa d hyo si vocha mimi nilikua nataka ninunulie meza ya kusomea' ------- yani mizinga ndo imerahsishwa hadi kuitwa credit!
Kamwambie baba ako .

Hizi tabia za kuomba omba nadhani ni matokeo na mazoea ya kuombaomba tangia utoto.....mgeni akija anaomba soda au hela matokeo yake mpaka ukubwani mtu anakuwa ombaomba.....
 
Piga ondoka entertainment....Kwan nmezaliwa na wewe???
Halafu nikishawachapa huwa nawaonea kinyaaaaaaa
Ukichanganya na kasi yao kwa bed ilivyo duniii..nakuchapa nao then nasepa....hela kachukue kwa babayako
 
your boyfriend should not be your source of income,its a relationship, not a job opportunity.
 
Mapenz ya upande mmoja kwan yy hawez kusimamia show
 
Back
Top Bottom