high vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,950
- 2,187
Mungu aliumba dunia.mapenzi tangu na tangu yalishanipiga sasa sina budi nielewe,siwezi kun'gan'gania wala siyo fungu langujapo ni shida ila nitabaki mwenyewe ila nashukuru kwa kuumiza sura yangu ila kweli mimi bado mtotokwa kuumiza kidonda changu na usiku kwa kweli silali mapenzi mabaya
na mbaya zaidi kinachoniumiza zaidi ni maneno maneno kwa ndugu na marafiki
na mbaya zaidi kinachoniumiza zaidi ni maneno maneno kwa ndugu na marafiki