jamaa anapenda wanawake wazee

jamaa anapenda wanawake wazee

mompome

Senior Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
145
Reaction score
40
kuna jamaa anapenda wanawake wazee, ameshatembea na wanawake walio na umri sawa na bibi yake,, tatizo linaweza kuwa nini?
 
Kila mtu na chaguo lake...hana tatizo lolote kama wewe tu unaependa vijana wenzio..
 
Nani unamzungumzia?? yule jamaa aliemuoa bibi yetu mbunge ama??
 
kuna jamaa anapenda wanawake wazee, ameshatembea na wanawake walio na umri sawa na bibi yake,, tatizo linaweza kuwa nini?

Hii habari yako sina imani nayo...
 
Isijekuwa ni wewe mwenyewe umekuwa addicted na vizee then ukamsingizia jamaa, anyway ni mmomonyoko wa maadili tu.
 
kuna jamaa anapenda wanawake wazee, ameshatembea na wanawake walio na umri sawa na bibi yake,, tatizo linaweza kuwa nini?

Hiyo ni abnormality ndani ya ubongo wake. Yeyote anayefanya jambo ambalo si la kawaida katika jamii, ana tatizo au hitilafu fulani kwenye ubongo wake.

Inawezekanaje kijana ambaye huna tatizo lolote na una urijali wa kutosha tu, uangukie kwenye watu waliokuzidi umri wa kufikia mama au bibi zako? Huu ni ugonjwa unaohitaji tiba kama magonjwa mengine yeyote yale ya akili. Mpeleke kwenye washauri nasaha.
 
Haloo tena hata mimi ndo michezo yangu wazee wana joto hasa kuanzia 50yrs. If uwanna be a player you must know how to play. Jaribu uone majoto trust me.
 
mompome ... wewe unamuogopa jamaa yako kumuuliza...?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom