excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,463
- 17,956
wana mmu, wote si wazima lakini?? si ndiyo??
basi bwana, mi leo naomba tuzame kwenye suala la kabumbu zaidi,
naomba tusemezane kuhusiana na hawa jamaa washabiki wa mpira wanavyodisturb ''department of love affair'' kisa tu eti kule kwenye soccer amepokea kichapo heavy!!
utakuta mjamaa katoka zake hukoooo kwenye soccer, kisa tu timu yake imepigwa nne moja, basi siku hiyo mke wake hata ile haki yake ya ndoa ndio haioni kabisaaaa!!!! sasa sijui siku wakitoka dro itakuwaje!
... jamani hivi kama wanawake na wenyewe wakiamua kufanya hivi itakuwajeeee????? eenh,, tuseme ukweli, labda siku hiyo timu ya miss strong imepigwa na timu pinzani, je lets say Mtambuzi hata pata haki yake siku hiyo??
sasa hebu muone kama huyu hapa kwenye photo.....!!!!!!!
nani afue hiyo nguo sasa jamaniiiiii????
mwanamama tena acheze na mkojo wa mtu mzima??

Last edited by a moderator: