habari wana jf..
inatokea unamuacha girlfriend/boyfriden wako na ukabaki single? au inatokea pale unapomuona mzuri zaidi ya ulienae?
NOTE: hujamfumania wala kumkuta na mwanaume mwengine

Hi ni nini sasa??