Wasalaam wakuu..kila uchao nimekuwa nikishangazwa na mabinti ambao wameweka tamaa mbele na kusahau mauti yapo nyuma....unakuta binti anapretend kumpenda mtu kwa dhati ili tu atimize malengo yake...
Wanadau nauliza,utamjuaje mwanamke mwenye maumbile madogo au makubwa?,pia kwa mwanaume anaewahi kumaliza anatakiwa ale chakula gani/dawa gan ili awe anachelewa? Mimi wanandg,dk 2 tu bao la kwanza...
Nilikuwa njaribu kuona baadhi maarafiki zangu ambao wakati wa ujana mnaambiana alot
kuhusu ndoa na mwisho mmoja baada ya mwingine akaanza kuoa lakini
kuna ambao wameamua kugoma mpaka sasa...
-Unajiskia kuongea na mtu unayemjali na kumpenda katikati ya busy and tight schedule yako kwa kumpigia kisha inapokelewa..."kata kwanza, nitakupigia", "ngoja ngoja kwanza", "nipigie baadae", au...
Habari wana jf natumaini wengi wenu hamjambo jamani katika maisha yangu ya kila siku swali hili linanisumbua sana na jamii inayonizunguka hubishana sana bila mwafaka nalileta kwenu leo naamini...
Uzoefu unaonyesha kuwa ndoa nyingi (siyo zote) kadiri siku zinavyoenda ndivyo mashamsham ya upendo hupungua na maisha kuwa kama kawaida. Ndoa nyingi hususan zenye miaka kuanzia kumi na kuendelea...
mimi ni binti wa miaka 24.natafuta mume.umri kuanzia miaka 27.awe mcha mungu.pia awe na kaz.elimu kuanzia kidato cha nne.kabila lolote.elim yangu degree naishi mbeya.plz nataka aliye serious...
ndugu zangu!
sikuwahi kuziona condom za kike wachana na kuzitumia hata mara moja!sikuwahi pia kumwambia mke wangu kuwa sizifahamu condom za kike!jana usiku aliniambia ofisini kwao wameweka condom...
Awe mwalimu au nesi yani Amesomea na ameajiliwa,umri 18-23,mweupe sio wa mikorogo,mkristo,awe anatokea mkoa wa Mbeya,mwembamba wastani,mrefu angalau ft 5.4na kuendelea awe mzuri wastani,ukiwa...
Salaam!
Kwanza poleni sana na misiba ya mapenzi na katiba mpya!
Taarifa kutoka kwa wadau wa karibu na dereva alieuawa pale ilala bungoni zinasema kuwa:
1.Jina lake halisi ni Fransis Shumira; ni...
Habar za asubuhi, wakubwa shikamoo, wadogo zangu hamjambo?, rika langu inakuaje pale. Naomba kutanguliza shukuran zangu za leo kwa thread zinazotupiwa hapa kwenye ukurasa mzur na wenye kufundisha...
Vimalalamiko visivyo vya msingi... Ni kukosa kujiamini na inaudhi alafu...
Kwa mfano; Chriss anampigia mpenzi wake Jackie simu, mara mbili haipokelewi, kisha baada ya dakika 20 anapiga tena...
I used to be like many of the whiners here on Jamii forum, Oh I'm so in love with this babe but she's treating me badly, what do I do? What do I do? That was a long time ago and now I am wise...
Walio wengi hushindwa kujua kuwa biashara ni matangazo,na sio kila anayetangaza basi anabiashara ya kweli,wengine ni mbinu ya kujiinua kimaisha maana bila akili huwezi kuendana na changamoto za...
Hi guys, naombeni ushauri wenu hasa kwa wale wazoefu ktk masuala ya uchumba na ndoa.
Mimi nina mchumba anayesoma chuo kikuu,tumekua kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka miwilli sasa, nimekuwa...
Mi Richard J natafuta mpenzi aliyeteyari kufurahia penzi lakweli na lenye amani. Umri 28-33. For active one my 0713079371. Bcoz some time natamani. niwe na mtoto. My email richardjeremiah785@gmail.com
MWISHO WA MWEZI HUOOO NDIO UNAZIDI KUJONGEA, PANGO NALO HILO LINAZIDI KUTOKOMEA.
NIFANYEJE ZAIDI YA KUWA NAMUAMKIA BABA MWENYE NYUMBA SHIKAMOO KILA NINAPOONANA NAYE?
MCHANA, USIKU, JIONI, ALASIRI...