Graph ya ndoa, kwa nini inakuwa hivi?

Graph ya ndoa, kwa nini inakuwa hivi?

BASHADA

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
513
Reaction score
149
Uzoefu unaonyesha kuwa ndoa nyingi (siyo zote) kadiri siku zinavyoenda ndivyo mashamsham ya upendo hupungua na maisha kuwa kama kawaida. Ndoa nyingi hususan zenye miaka kuanzia kumi na kuendelea grafu zao za upendo zimeshuka sana. yaani mume hata akisafiri haoni uzito sana kummisi mke wake, na hivyo hivyo kwa mwanamke. Wengine wakiwa mbali na nyumbani huishia kutafuta nyumba ndogo kujipoza.

Naomba wadau tujadili, kwanini? na nini kifanyike ili upendo katika familia ubaki kama ulivyokuwa siku ya uchumba na harusi?
 
i just think that people get more comfortable in their roles in someones life....
 
Ni kuhakikisha kuwa mnaingia kwenye ndoa kwa ajili ya upendo halisi unaojengeka siku baada ya siku yaani taratibu na sio kuingia kwenye ndoa baada ya zile quic quick crushes umemuona tu mtu siku ya leo unahisi huwezi kuishi bila yeye mnakaa miezi hamjasomana hata tabia vizuri mshafunga na ndoa NO big no upendo wa dhati hujengeka pole kwa pole nao huchuka siku nyingi sana kujengeka mkiingia kwenye ndoa kwa upendo huo wa dhati sikuzote utamuona mwandani wako kuwa mpya na utahisi kupungukiwa ukimkosa lakini ndoa yenu ikiwa out of a crush haichukui siku unakuwa ushamchoka mwenzio.hayo ni mawazo yangu.
 
Mijanajike mengine ikiolewa tu baaas!
No kujiremba!
No kujipamba!
No uchokozi!
...
Never say
'i love you!'
'i miss you'
etc! Na kinyume chake ni kweli!
...
But ke ndio wa kulaumiwa zaidi!
 
Mijanajike mengine ikiolewa tu baaas!
No kujiremba!
No kujipamba!
No uchokozi!
...
Never say
'i love you!'
'i miss you'
etc! Na kinyume chake ni kweli!
...
But ke ndio wa kulaumiwa zaidi!

Mmmhhh huo ni mtazamo wako,wanaume nyie sijui mna mapepo, hata mfanywe nin hamuelewu wala kupendeka
 
Mijanajike mengine ikiolewa tu baaas!
No kujiremba!
No kujipamba!
No uchokozi!
...
Never say
'i love you!'
'i miss you'
etc! Na kinyume chake ni kweli!
...
But ke ndio wa kulaumiwa zaidi!
Heee...either way lakikn haukuna tatizo lisilo na sababu wala ufumbuzi...dawa ni kukaa chini na kuzungumza ikiwa mnahitajika kuendelea kua pamoja till dealth do you apart
 
Mijanajike mengine ikiolewa tu baaas!
No kujiremba!
No kujipamba!
No uchokozi!
...
Never say
'i love you!'
'i miss you'
etc! Na kinyume chake ni kweli!
...
But ke ndio wa kulaumiwa zaidi!
sema haki ya mungu!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mijanajike mengine ikiolewa tu baaas!
No kujiremba!
No kujipamba!
No uchokozi!
...
Never say
'i love you!'
'i miss you'
etc! Na kinyume chake ni kweli!
...
But ke ndio wa kulaumiwa zaidi!

Kama unamgharamia na kumtunza mkeo Una haki kabisa ya kulalamika Mashaxizo.
Wallet yako inasoma vizuri?? Kujipamba na kujiremba kunaitaji fwedha!!!
Mkeo ana gari ina full kipupwe??? Au kutwa ananing'inia kwenye daladala za feri na ndoo za samaki?? Sura inajikunja kwa stress za dhiki na umasikini??
Chunguza hivyo halafu chukua hatua my kaka!!
 
Mmmhhh huo ni mtazamo wako,wanaume nyie sijui mna mapepo, hata mfanywe nin hamuelewu wala kupendeka

Tusibishane pumba!
Embu tuangalie primary duties za mke na mume, then tuhusishe na utekelezwaji wake huko majumbani!
Plz usivae jezi!
...
(Ngoja nisiende mbali pengine huyu mutu anabisha tu hata hizo primary duty za mke hazijui!)
...
Kwani mke anawajibu gani katika ndoa?
Ni nyingi but wewe nipe kuu!
 
Mijanajike mengine ikiolewa tu baaas!
No kujiremba!
No kujipamba!
No uchokozi!
...
Never say
'i love you!'
'i miss you'
etc! Na kinyume chake ni kweli!
...
But ke ndio wa kulaumiwa zaidi!

Kwa nin waoo??, na kwa nin isiwe wew e unaepunguza mapenz kwa visingizio vya majukumu?
 
Mijanajike mengine ikiolewa tu baaas!
No kujiremba!
No kujipamba!
No uchokozi!
...
Never say
'i love you!'
'i miss you'
etc! Na kinyume chake ni kweli!
...
But ke ndio wa kulaumiwa zaidi!
Mkuu hebu ondoa hiyo tone ya dharau kidogo hawa nao ni viumbe na wana hisia kama wewe
Kuwaita "mijanajike mingine" sound harsh na kama dharau fulani
Sorry lakini mkuu
 
Uzoefu unaonyesha kuwa ndoa nyingi (siyo zote) kadiri siku zinavyoenda ndivyo mashamsham ya upendo hupungua na maisha kuwa kama kawaida. Ndoa nyingi hususan zenye miaka kuanzia kumi na kuendelea grafu zao za upendo zimeshuka sana. yaani mume hata akisafiri haoni uzito sana kummisi mke wake, na hivyo hivyo kwa mwanamke. Wengine wakiwa mbali na nyumbani huishia kutafuta nyumba ndogo kujipoza.

Naomba wadau tujadili, kwanini? na nini kifanyike ili upendo katika familia ubaki kama ulivyokuwa siku ya uchumba na harusi?

Mkuu inategemea ndoa yako ikoje na mnaishije ndani ya nyumba yenu
kama na wewe ulikuwa na tabia au mazoea fulani wakati wa uchumba na baada ya ndoa kila kitu kikakata usitegemee graph ya upendo ndani ya ndoa ipande ni lazima itakuwa inashuka siku kwa siku
Ila kama baadhi ya vile ulivyokuwa unavifanya wakati wa uchumba utaviendeleza sidhani kama graph itashuka
Wapaswa kuiona ndoa yako kama mpya kila siku na kama ni mke jiweke katika mazingira ambayo mume atakuona mpya kila siku
Kuna kubadilisha life style ila isikubadilishe mpaka ukawa mgeni kabisa yaani ukawa different kabisa kutoka the way ulivyokuwa.Kama ni mume fanya vile mlivyokuwa mnavifanya wakati wa uchumba hata kama vitapungua ila at least baadhi yake uvifanye ambavyo vitamkumbusha mke wakati wenu mkiwa so romantic and lovely
 
Sijui nimsubiri mamndenyi aje apa amalize ama nitoe ............
 
uzoefu unaonyesha kuwa ndoa nyingi (siyo zote) kadiri siku zinavyoenda ndivyo mashamsham ya upendo hupungua na maisha kuwa kama kawaida. Ndoa nyingi hususan zenye miaka kuanzia kumi na kuendelea grafu zao za upendo zimeshuka sana. Yaani mume hata akisafiri haoni uzito sana kummisi mke wake, na hivyo hivyo kwa mwanamke. Wengine wakiwa mbali na nyumbani huishia kutafuta nyumba ndogo kujipoza.

Naomba wadau tujadili, kwanini? Na nini kifanyike ili upendo katika familia ubaki kama ulivyokuwa siku ya uchumba na harusi?

ndoa nyingi za aina hii hata wanandoa awaju mishahara yao
we miaka kumi mkeo anachukuliwa na cruiser na wewe unabebwa na corola
mkirudi ujui leo ameingiza ngapi unahisi upendo utatoka wapi

wekeni mambo yenu wazi wanandoa mtapunguza mambo mengi sana nimeona ndoa nyingi matatizo ni kwenye uhalisia halisi
umoja na mshikamano sio tu nguzo ya ccm bali pelekeni mawazo haya hata kwenye ndoa mtafanikiwa na kubarikiwa sana inapotokea mmoja wenu akawa mbinafsi hapo ndipo tatizo linapotokea na mwisho kuishia kutujazia watoto wa mtaani
 
Mijanajike mengine ikiolewa tu baaas!
No kujiremba!
No kujipamba!
No uchokozi!
...
Never say
'i love you!'
'i miss you'
etc! Na kinyume chake ni kweli!
...
But ke ndio wa kulaumiwa zaidi!

nyie wanaume nyie hata mfanywaje upendo kama hamna hamna tu...
 
Mkuu hebu ondoa hiyo tone ya dharau kidogo hawa nao ni viumbe na wana hisia kama wewe
Kuwaita "mijanajike mingine" sound harsh na kama dharau fulani
Sorry lakini mkuu

Lakini hajajenelolaizi, hivi unajua kwamba kuna wanawake majambazi? nadhani alikuwa anarifaa wananawake wa aina hiyo
 
Back
Top Bottom