mwanajimbah
Member
- Jun 27, 2012
- 95
- 21
Habar za asubuhi, wakubwa shikamoo, wadogo zangu hamjambo?, rika langu inakuaje pale. Naomba kutanguliza shukuran zangu za leo kwa thread zinazotupiwa hapa kwenye ukurasa mzur na wenye kufundisha MMU, kwakweli watu wamechangamka na istoshe comment zimekaa vizur kwa hlo naweza kusema ni hatua nzur ya tulipofikia. Hvyo basi tuendelea na hyo spirit mpaka mwisho natuache utani sababu jukwaa hli ni mafunzo zaidi ya kelele zitokeamo seminar room(sR). Ahsaten sana na siku njema.