Ndokeji
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 698
- 474
Habari wana jf natumaini wengi wenu hamjambo jamani katika maisha yangu ya kila siku swali hili linanisumbua sana na jamii inayonizunguka hubishana sana bila mwafaka nalileta kwenu leo naamini nitatoka na majibu mazuri Swali ni kwamba kijana wakiume aliyesoma akafika hadi ngazi ya chuo kikuu kunasababu akaoa binti wa chuo kikuu ? Diploma ?au anaweza kuoa hata form four au Darasa la saba?