Kuna daw[SUB][/SUB]da mmoja nilikua nampenda sana. Kwakweli amejaaliwa kiumbo!
Nakumbuka miaka michache iliyopita niliji-express kwake akanitolea nje! Nilijitahidi sana ila alinipotezea!
Nilikuja kusafiri kwenda mbele. Niliporudi, alipata taarifa akanitafuta. Katika maongezi alionyesha dalili za kutaka kuwa name katika mahusiano.
Baada ya muda alikolea sana ila nilimpotezea (nilizuga kumtest kama yupo seriaz)!
Kuna siku aliniambia "nilidhani umerudi sasa tuoane". Nilimuuliza "kwani nilikuahidi kukuoa? mbona ulishanikataa? unataka kuniuzia mbuzi kwenye gunia nini?" Aliniuliza "usiwe na wasiwasi utaonja tu tukioana".
Kuna siku nilimwita nikamweleza sina mpango wa kuoana naye kwani ninamajukumu mengine ya kikazi.
Siku chache baadae aliniomba aje kunitembelea. Nilikubali. Alipokuja alinibembeleza sana na aliniomba hata kama sina nia naye basi nimridhishe japo mara moja tu. Aah, siunajua tena kajileta mwenyewe; "tulimaliza, akatulia".
Baada ya hapo aliendelea kunitumia meseji kwamba "ameipenda huduma yangu" na anaomba tuwe karibu zaidi (achilia mbali ndoa kwasasa kama nipo bize).
Kuna jamaa wamenitonya kwamba huyo mdada ni "chaote" ila nikimuuliza mwenyewe anakataa anasema "wanamsingizia" ila alishawahi kuwa na jamaa mmoja ambaye alipiga naye mechi moja tu!! Jamaa zangu wamenithibitishia kwamba mchuchu alikuwa hasemi hapana wakati nilipokuwa mbele.
Nifanyeje ili nimpotezee kabisaa kwani kila siku anataka tuonane mimi ndo namzingua!