Wambea wote hii hapa lazima itawahusu tu...

ALFMOJA

Senior Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
163
Reaction score
53
Majamaa kutoka bongo wapo ulaya, wakiwa huko wanadhani wamejificha na kiswahili.
si wakaanza kumsengenya mzungu. ebo, kumbe mzungu mwenyewe kaishi sijui longido, sijui wapi kiswahili anakujua.

mbona ilikuwa shuhuli?! jamani no onyo hili tupunguze masengenyo tukiwa uko ulaya. hii lugha ipo kila mahali siku hizi....

kupata mchapo wenyewe ulivokaa gonga hapa:

Kiswahili has gone viral; backbite no one in Holland! | TZ Business News
 
Ya nn kuwapa watu kaz ya kutafuta tena hicho kisa?? kama umeweza kuinasa kwann usiilete yote???
 
imeandikwa kwa kiingereza mkuu. hapa mmu naona mambo karibu yote ni kiswahili ndo maana nikatafsiri kisa kwa ufupi. Au?
 
Kiswahili for Beginners.jpgMap-of-Swahili-Speaking-Regions.gif
 
Majamaa kutoka bongo wapo ulaya, wakiwa huko wanadhani wamejificha na kiswahili.
si wakaanza kumsengenya mzungu. ebo, kumbe mzungu mwenyewe kaishi sijui longido, sijui wapi kiswahili anakujua.

mbona ilikuwa shuhuli?! jamani no onyo hili tupunguze masengenyo tukiwa uko ulaya. hii lugha ipo kila mahali siku hizi....

kupata mchapo wenyewe ulivokaa gonga hapa:

Kiswahili has gone viral; backbite no one in Holland! | TZ Business News

hii imenikumbusha rafiki yangu mmoja (mzungu) aliyemwambia konda wa daladala "mtu mzima hovyo" baada ya kumpitiliza kituo na daladala yote kubaki mdomo wazi back in 1990s; pia jinsi boss wangu alivyokutana na ambaye baadaye kaja kuwa mkewe kwenye ndege baada ya mbaba wa kizungu kumjibu mama yake, "hakuna shida"; pale ambapo mdada alipomwambia mama yake amshike vizuri mjukuu wake asimsumbue mzungu wa watu.
 
Two guys from Tanzania were in Amsterdam a couple of months ago. In a bus travelling from the main city out to some little town, and a big, huge hairy guy sat in front of them.
The two Tanzanians looked at each other and started giggling. The guy in front of them became the main topic as the bus rumbled out of the city.

"Ha ha ha ha…umeona ee? Manywele kila mahali utafikiri lisokwe kabisa mtu wangu, ha ha ha ha

And, like Tanzanians always are, it is the easy, light hearted topics that take most of their time. This hairy white man became the main topic.
Then a bolt of lightning struck! The people of Holland can be very kind. The hairy guy reached his disembarkation point. He stood up, turned around and smiled. He then turned to his Kiswahili-which was very good. Looking at the two Tanzanians in the eye and, in a thick male voice, he greeted them:

"habari zenu ndugu zangu.Sasa lisokwe linashuka. Muende salama ndugu zangu."
 
Inasikitisha sana. Wadachi ni wakarimu mno, wapole na wastaarabu sana, halafu wanawapenda sana Watanzania, wa-ethiopia na wamalawi. Hao ndiyo choice yao wadachi first class kwa Waafrika. Hawa watu watakuwa wamesababisha picha mbaya sana kama watakuwa ni watanzania kweli, yaani inasikitisha sana!
 
hii imenikumbusha rafiki yangu mmoja (mzungu) aliyemwambia konda wa daladala "mtu mzima hovyo" baada ya kumpitiliza kituo na daladala yote kubaki mdomo wazi back in 1990s; pia jinsi boss wangu alivyokutana na ambaye baadaye kaja kuwa mkewe kwenye ndege baada ya mbaba wa kizungu kumjibu mama yake, "hakuna shida"; pale ambapo mdada alipomwambia mama yake amshike vizuri mjukuu wake asimsumbue mzungu wa watu.

Kule marekani kuna kundi kubwa sana la wazungu waliwahi kuishi Tanzania. Wanapenda sana vijineno vifupi vya kiswahili kufupisha mazungumzo. Hawa neo neo "choo" wanalipenda sana.

Eti ni rahisi zaidi kuulizia choo kuliko toilet au bathroom. so atauliza wapi choo! badala ya is there a toilet around here? au fikiria hii: nipo jikoni mpenzi. af angaliz kiingereza chake sasa. I am in the kitchen my darling. moja inakuwa kama mouthful hivi. I am in the kitchen. nipo jikoni!
 
Inasikitisha sana. Wadachi ni wakarimu mno, wapole na wastaarabu sana, halafu wanawapenda sana Watanzania, wa-ethiopia na wamalawi. Hao ndiyo choice yao wadachi first class kwa Waafrika. Hawa watu watakuwa wamesababisha picha mbaya sana kama watakuwa ni watanzania kweli, yaani inasikitisha sana!

ni watanzania kabsaa... sema tu inaelekea huyu mdachi inaelekea tayari alishawasamehe. hiyo adhabu ya kuwajulisha kiswahili anakijua iliwatosha sana.
 
Inanikumbusha 2005 nilikuwa kwa treni na jamaa yangu toka kanda ya ziwa kutoka Hamburg(Germany)-Sonderburg,jirani yetu alikaa mama mtu mzima wa kizungu.Tukahisi mtu kaachia ushuzi,jamaa yangu kwa lafudhi ya kisukuma akasema kwa sauti "Hii mizungu inakulagha mavitu ya hovyohovyo sasa kila muda yenyewe ni kujambajamba tuu" yule mama jirani akatujibu kwa lafudhi ile ile kama tunajuana "kwani mavyakula ya kwenu mukilagha hamjambaghii?" tulijisikia aibu balaa,baadaye tulifahamiana kumbe yule mama kafanya kazi kanda ya ziwa kwa karibu miaka 10 hadi kisukuma anakijua vizuri.
 
Nasjihisi utumbo kucheza ndani ya tumbo langu natetemeka. Namna ninavyowaheshimu hawa watu, na walivyo na heshima kwetu!
 
Inanikumbusha 2005 nilikuwa kwa treni na jamaa yangu toka kanda ya ziwa kutoka Hamburg(Germany)-Sonderburg,jirani yetu alikaa mama mtu mzima wa kizungu.Tukahisi mtu kaachia ushuzi,jamaa yangu kwa lafudhi ya kisukuma akasema kwa sauti "Hii mizungu inakulagha mavitu ya hovyohovyo sasa kila muda yenyewe ni kujambajamba tuu" yule mama jirani akatujibu kwa lafudhi ile ile kama tunajuana "kwani mavyakula ya kwenu mukilagha hamjambaghii?" tulijisikia aibu balaa,baadaye tulifahamiana kumbe yule mama kafanya kazi kanda ya ziwa kwa karibu miaka 10 hadi kisukuma anakijua vizuri.

hahahahahahahahahaaaa halafu wazungu sikuhizi wajanja sana kuna mmoja nilikutana nae Same anagonga kipare balaa
 
Two guys from Tanzania were in Amsterdam a couple of months ago. In a bus travelling from the main city out to some little town, and a big, huge hairy guy sat in front of them.
The two Tanzanians looked at each other and started giggling. The guy in front of them became the main topic as the bus rumbled out of the city.

“Ha ha ha ha…umeona ee? Manywele kila mahali utafikiri lisokwe kabisa mtu wangu, ha ha ha ha

And, like Tanzanians always are, it is the easy, light hearted topics that take most of their time. This hairy white man became the main topic.
Then a bolt of lightning struck! The people of Holland can be very kind. The hairy guy reached his disembarkation point. He stood up, turned around and smiled. He then turned to his Kiswahili—which was very good. Looking at the two Tanzanians in the eye and, in a thick male voice, he greeted them:

“habari zenu ndugu zangu.Sasa lisokwe linashuka. Muende salama ndugu zangu.”

Nilikua na siku mbaya but baada ya kuona hii nimecheka sana. Thank u.
 
Inanikumbusha 2005 nilikuwa kwa treni na jamaa yangu toka kanda ya ziwa kutoka Hamburg(Germany)-Sonderburg,jirani yetu alikaa mama mtu mzima wa kizungu.Tukahisi mtu kaachia ushuzi,jamaa yangu kwa lafudhi ya kisukuma akasema kwa sauti "Hii mizungu inakulagha mavitu ya hovyohovyo sasa kila muda yenyewe ni kujambajamba tuu" yule mama jirani akatujibu kwa lafudhi ile ile kama tunajuana "kwani mavyakula ya kwenu mukilagha hamjambaghii?" tulijisikia aibu balaa,baadaye tulifahamiana kumbe yule mama kafanya kazi kanda ya ziwa kwa karibu miaka 10 hadi kisukuma anakijua vizuri.

Very funny, yaani waweza pasuka mbavu kwa kicheko.
Nilikuwa na rafiki mmoja wa kihaya wakati tunakua; siku moja wakati tunatembea nyuma yetu kuliwa na vijana wawili wa kihaya wakawa wanatusema. Koku akanitonya, akasema ngoja awasikilizie; baadaye tukajipunguzisha mwendo by the time wanatufikia, akawasalimia "tasboota" walichanganyikiwa, tukawapita tena.
 
Inanikumbusha 2005 nilikuwa kwa treni na jamaa yangu toka kanda ya ziwa kutoka Hamburg(Germany)-Sonderburg,jirani yetu alikaa mama mtu mzima wa kizungu.Tukahisi mtu kaachia ushuzi,jamaa yangu kwa lafudhi ya kisukuma akasema kwa sauti "Hii mizungu inakulagha mavitu ya hovyohovyo sasa kila muda yenyewe ni kujambajamba tuu" yule mama jirani akatujibu kwa lafudhi ile ile kama tunajuana "kwani mavyakula ya kwenu mukilagha hamjambaghii?" tulijisikia aibu balaa,baadaye tulifahamiana kumbe yule mama kafanya kazi kanda ya ziwa kwa karibu miaka 10 hadi kisukuma anakijua vizuri.

hahahahahahahahahaaaa halafu wazungu sikuhizi wajanja sana kuna mmoja nilikutana nae Same anagonga kipare balaa

ha ha ha ha ha....huyu wa kugonga kipare sana nadhani namjua huyu. atakuwa ni huyu binti wa kiholanzi aliesoma shule za msingi za kule upareni; ni kama sijui Same kule? siyo yeye huyu kweli? Na akiongea kiswahili ukawa umefumba macho hutakaa ujue ana nywele ndefu. Yaani anajua misamiati ya kiswahili balaa....
 
Back
Top Bottom