Nilishaambiwa au kusikia mara kadhaa kwamba Mwanamke kashtaki kwa Mmewe kwamba kuna Mwanamme anamfuatilia/anamtongoza, matukio haya yapo ya aina kadhaa:-
1. Mwanamke kulalamika kwa Mmewe kwamba...
Kuachwa kusikupe Stress, Haijalishi umeachwa mara ngapi,
Jali kile ulichojifunza kutoka kwa mtu aliyekuacha.. Kila
anayeingia maishani mwako ana Syllabus mkononi mwake, Every
topic...
Habari za siku nyingi ndugu wana MMU,
Napenda kuwashirikisha habari nilizopata muda mfupi uliopita kumhusu mwenzetu Mwanyasi, katibu wetu wa Tanga Wing ambaye alipotea ghafla kwa muda mrefu. Kama...
Tunajua wote kuwa plagiarism ni serious academic offence! Lakini hili swala sasa limesambaa na kwenda mbali zaidi hadi kwenye jamii ngazi ya familia. Unakuta mke wa mtu ameolewa, halafu sijui kwa...
jana nimekaa na wazee wamenishauri sana kutokana na maamuzi yangu magumu niliyokuwa nataka kuchukua baada ya kutaka kukodi bunduki na nimegundua NI UJINGA KAMA SI UJUHA KUFANYA HAYO
Kuwa na amani...
Ndio maana vijana wengi kila kukicha hasa hapa MMU wanalia kuumizwa na wazee kwa kuibiwa wake, wachumba na magirlfriends zao. Kwa upande mwingine nimeona humu MMU mabinti wakiwasifu wazee, kwamba...
Good afternun Ladies & Gentleman, kwa mara nyingine tena nimekuja na UZI mupya unaosema ''MTOTO WA MBUNGE ANATAKA KUVUNJA NDOA YANGU,'', kwanza kabisa nichukue fursa hii kuwapa HESHIMA zao...
Asimulia baba yao mzazi anavyowabaka
Badala ya baba kuonekana kuwa ndio mstari wa mbele kuwasisitiza watoto kufanya mazuri, amekuwa akituhumiwa kuwa ndio kinara wa kuwalawiti na kuwabaka watoto...
Habarini za jioni wanajamvi. Hivi hawa watu wakoje jamani? Yaani we umejibana umemnunulia ka Vitz lakini anakuja kukuona haufai kwa ajili ya jamaa aliyemnunulia mafuta ya...
Jamani wana JF naomba ushauri wenu,niko ndani ya ndoa zaidi ya miaka kumi tuna watoto 3,kinachofanya niombe ushauri ni kwamba baada ya kufunga ndoa ndani ya mwaka 1 familia yangu ilianza kuwa na...
Salaam,
Nina uhakika kila mmoja katika maisha haya amewahi kusikia au kushuhidia kisa cha kusitikisha, kuudhi au hata kuumiza cha mapenzi. Mimi nakumbuka zamani niliwahi kusikia kisa cha mwanamke...
wakuu naishi nyumba ya kupanga kuna binti wa mama mwenye nyumba alikuwa ananitupia shikamoo kila akiniona lakini baada ya wiki mbili hanisalimii na tukionana ni full kurembua nikajaribu kuuliza...
Naongea haya nikiwa na wakati mgumu sana, nina hasira zisizo na kipimo, naogopa kumu Ufoo saro huyu jamaa.
Mpenzi wangu anasoma Chuo kikuu kimoja cha private hapa nchini tena cha kidini, na yuko...
Hello MMUs,
Nawasalimu wote.
Sijawahi kujitokeza kuomba msaada wa maombi mbele yenu ila leo maji yananizidi kimo. Ninapitia wakati mgumu ambao haujawahi kutokea katika maisha yangu. Ninaamini...
Wa-tz tumekuwa ni watu wa kudanganyana kwamba ukitaka kwenda kwenye msiba vaa za aina fulani,au ukitaka kwenda club vaa nguo za aina fulani, lakini kwa mtu yeyote aliye makini hili suala la uvaaji...
Nimekumbuka fundisho nililopata nikiwa shule.
Siku ya kwanza kuingia darasani, nilikutana nae. Alikua anakaa desk la tatu toka nyuma yangu. Nilijikuta namchukia tu. Sijui ndio kutopatana kwa...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Msinichoshe nisiwachoshe tupate habari kamili!!!!!!!!!!!
Back in the days tulikuwaga marafiki kibao tunaishi hostel fulani hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.