Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Hello MMUs,
Nawasalimu wote.
Sijawahi kujitokeza kuomba msaada wa maombi mbele yenu ila leo maji yananizidi kimo. Ninapitia wakati mgumu ambao haujawahi kutokea katika maisha yangu. Ninaamini wapo watu wa Mungu na wenye imani humu ndani. Sema neno lolote kwa Mungu nafsi yangu itapona na shetani aliyejiinua atashindwa hatimaye Mungu muumba kuinuliwa.
Ninahitaji maombi zaidi ili niweze kuinuka.
Asanteni.
NB: Nimeweka MMU kwani ndio nyumbani kwangu....jukwaa la dini sina wenyeji.