She is cute
She is cute
Hili jukwaa lina uhusiano gani na picha uloibandika humu?!
Astaghaffirullah!
where?
...naona unajitihada ya sizitaki mbichi hizi.
...naona unajitihada ya sizitaki mbichi hizi.
Drone zangu zinanithibitisha hajawahi kuwa kidumu
ex kidumu mbona umeshtuka kama vile Paw katukuta chumbani.
...naona unajitihada ya sizitaki mbichi hizi.
Drone zangu zinanithibitisha hajawahi kuwa kidumu
Achana nae huyo sungura ujanja wake hapa kikomo. Anakumbatia kivuli kwa imani. Ndo aliekuwa anatuletea maji enzi za ujana tukiishi sinza.
yaani chumbani uingie na mie? Manake kama ni kazi za kupaka rangi na kumove makabati anaganya paw mwenyewe! Wewe wa kibarazani lol
wapi, Paw mie nina anti-drone missiles, sasa muulize nimejuaje kioo cha dressing table yake kimepasuka kidogo wakati upepo uliangusha curtain rod ikaangukia kwenye kioo. BTW King'asti, ulitafta fundi wa kukirudishia?Achana nae huyo sungura ujanja wake hapa kikomo. Anakumbatia kivuli kwa imani. Ndo aliekuwa anatuletea maji enzi za ujana tukiishi sinza.yaani chumbani uingie na mie? Manake kama ni kazi za kupaka rangi na kumove makabati anaganya paw mwenyewe! Wewe wa kibarazani lol
Mama Paw kama ushawahi kuwa kidumu cha huyo mangi basi kanunue bullet proof na helmet ngumu