Ana mtafuta baba yake aitwae fredrick palanjo

Ana mtafuta baba yake aitwae fredrick palanjo

weka namba zako ili wanaomjua FRed wakupigie, na kama tayari unamjua ni familia ya askofu kuna kutafuta hapo? Huyo mama wa mtoto ndo anamtafuta baba watoto wake au mtoto wa 2009 leo hii 2013 (4 years) anamtafuta baba yake kwa kupatia majina yote ya baba na mama na walipokuwa wakikaa tabata?
 
Kuna uwezakano mtoto akamtafuta baba yake hata kama ana umri mdogo sababu hamuoni baba yake kwa hiyo
tukaona ni bora kumtafuta huku ili mtusaidie, hawaja wahi kuishi pamoja ila baba ndio alikuwa akiishi uko tabata.
Namba ya simu ni 0713199275.
 
Palanjo!! Hebu tembelea ofisi za RITA moro mjini kuna mtu mwenye hili jina atakupa usaidizi zaid
 
Back
Top Bottom