Nimeamini nimeshindwa kukaa bila ya mwanamke

Nimeamini nimeshindwa kukaa bila ya mwanamke

IKWETE

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
4,057
Reaction score
696
Ni miez 6 imepita tokea nilipoachwa na mpenzi wangu.nimehangaika sana kutafuta mwingine mimeambulia maumivu tu.nimetumia na hata hela zaid laki 2 lkn hamna kitu.nami nashindwa kukaa hivi najisikia mpweke sana.ushauri wenu wadau naombeni.
 
tulia mdau,ipo siku utampata uliyepangiwa,utafurahia maisha mdau.
jua kuwa wanaume wengi sana tunaoa wake za watu.!(do u want to know what I mean?)
 
Mi sitafuti demu kama demu.natafuta mke ndugu
 
Man, your so desparete.... Ah.. Tulia, demu ukimpata haraka atakuacha haraka pia.. Easy come, easy go.
 
tulia mdau,ipo siku utampata uliyepangiwa,utafurahia maisha mdau.
jua kuwa wanaume wengi sana tunaoa wake za watu.!(do u want to know what I mean?)
nimekuelewa kaka.ila niliumia sana waliponichukulia yule msichana.
 
Kila kitu kinaanzia kichwani/moyoni. kama waona umeshindwa ndivyo hivyo. Pia ukajishauri ukachukua kuwa unaweza kukaa muda mrefu zaidi, unaweza. Chagua kwa hekima (proverbs 4:7 Wisdom is the principal thing; Therefore get wisdom. And in all your getting, get understanding.)

Ni miez 6 imepita tokea nilipoachwa na mpenzi wangu.nimehangaika sana kutafuta mwingine mimeambulia maumivu tu.nimetumia na hata hela zaid laki 2 lkn hamna kitu.nami nashindwa kukaa hivi najisikia mpweke sana.ushauri wenu wadau naombeni.
 
Usitafute mtu sabbu tu unataka kuziba mwanya na kukimbia upweke.
Utakuaje mpweke wakati you are with you? Discover yourself
KJaribu activities for just one person and enjoy your own company
If wewe mwenyewe unashindwa kua na wewe, unadhani mtu baki atapenda?
 
tulia mdau,ipo siku utampata uliyepangiwa,utafurahia maisha mdau.
jua kuwa wanaume wengi sana tunaoa wake za watu.!(do u want to know what I mean?)

Hakunaga virgins, au sio?
 
haraka hizi za kuziba pengo ndio zmesababsha laki zako 2 zkaliwa (angalia usgeuke Munisi) bila kutimiza utakacho. Bado hujajipata wewe ni nani na unataka nin kwa ke wa namna gani. Tuliza akili, pumzsha moyo vidonda vipone ndio uchomoze shngo tena kuchungulia kinachoendelea kwenye dunia ya mapenz.
 
Tatizo la kuvunja ndoa bila kujua adhari zake ndio izo ulizani mkeo hatakufaa ila gf ndio atafaa haya sasa chungu lkn meza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom