mimi sipendi sijui wewe unasemaje kuhusu hili

mimi sipendi sijui wewe unasemaje kuhusu hili

LEVEL

Senior Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
195
Reaction score
51
huwa sipendi kinoma kukuta mwanamke kavaa Tait Au Chupi Nyekundu Na Nashangaa Ni Kwa Nini Wao Huvaa
 
Khaaa!!! makubwa haya,sasa kama hupendi wewe ndio wengine wasivae? sema hupendi kumuona mpenzi/au mkeo kuvaa.
Kwa raha zao, wenzio wanapeleka wapenzi wao kununua wewe hupendi?
 
duuh,.

Bila shaka unamaanisha wasivae nguo kabisa watembee uchi siyo,...

Akina dada kazi mnayo,.
 
Ni sawa na mtu kusema 'Sipendi wanamme wenye .b..'
 
Huyo wako atakua anavaa mkuna nazi...
 
Mimi napenda...
Au avae rasta colour...lol!
 
Ila unapenda avae kijani rangi ya bendera ya chama chako?
 
du ngoja wa msimbazi wakusikie, hakuna rangi nzuri kama red. basi mwambie akiwa mwezini atoe p ya blue.
 
Back
Top Bottom