Hali kama hii inatokana na nini?

Hali kama hii inatokana na nini?

mangi mandara

Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
64
Reaction score
2
Habar zenu wanajukwaa,na2mai mu wazima mimi pia mzima,kuna jambo limejtokeza apa mtaani kwetu sijui uko kwenu kama nako hali iko kama hii ya uku kwetu,mtaan kwetu hapa bhana kuna jambo nimejaribu kulichunguza kweli limenisikitisha sana sijui linatokana na nini embu tulijue basi jambo lenyewe,jambo lenyewe ni hili kuna rafki yangu mmoja wakiume maana mimi ni wakiume kama jina livyojieleza apo,sasa rafki yangu huyo alimpata mchumba kitaani hapahapa akaweka ndani maisha yakaanza,wamepata ka kid kamoja wakashindwana wakaachana sasa chakushangaza mke kapangisha mtaa huo huo around na jamaake uyo,ndugu mwingine hali ni kama ya uyo rafki yangu ila yeye ana watoto wawili wameachana ila nae kapangisha around na jamaake uyo,pia yuko mwingine hali ni hiyo hiyo sasa najiuliza kwanini wawili hawa ambao hawajafunga ndoa wakiachana wanakua mazingira ya sehem moja kwanini kama ni kugombana mmoja wao asiende mbali kidogo angalau wasionane kama wamegombana kweli?kwa nini?
 
Mwenyewe umesema wanatoka kitaa kimoja!
Kwaiyo wewe unataka wakiachana mmoja wao ahame kitaa! si ndio?
 
Back
Top Bottom