Nimemkumbuka mpenzi wangu mtoto wa aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya ndani

venchwa

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
1,677
1,592
Hallo habari zenu aisee,
Nimewaza nikakumbuka mi katika udogo wangu nilikuwa mtundu sana sana , nikutemee cheche ukatae, wapii, yaan kama ni sumu basi ni ya kifutu , maana sumu nikikupa tu utajifanya hunitaki ila usiku kucha unaota mpaka unitafte tena,

Nakumbuka nimebahatika kutembea na mtoto wa waziri mmoja wa mambo ya ndani wa zamani simtaji jina ila ni wa maeneo ya **** na mama yake ni mzungu yaan chotara Fulani hivi,

Nilikuwa kila siku napita kwao namsalimia anauchuna tu,
Nasalimia anachuna tu,

Kama mwezi mzima, nasalimia anachuna haongei chochote,
Nikaendelea tu hajibu, haya miezi miwili hajibu,
Siku moja yeye si watoto wamelelewa mayai hakuna kinachokosekana,
Siku moja nikapita nikakuta yupo na rafiki yake wa kike akili ikaja kwamba nikisalimia nikachuniwa ni aibu, sasa nitamsalimia huyu wa mwingine, nikamsalimia akaitikia, alafu akaniuliza kuhusu wapi anaweza pata hizi gym kwa maeneo hayo maana kwao walikuwa mlango umejilock na anataka, nikasema njoo nikuoneshe basi tukaongozana na Yule anayenichunia, njiani tukapeana namba ya simu na Yule hasiyenichunia yaan rafiki wa anayenichunia, nikafika nikamuonesha nikaenda zangu,

Kesho yake nikapita maeneo yale Yale kwa anayenichunia nikakausha sikumsalimia nikaenda nikaona anachungulia kwa geti nikasema powa tu,

Siku ya pili nika mute vile vile, kabla sijafika mbali nilisikia "YOU BOY WAIT" akaja akauliza why you always greet me, but today and yesterday not? What is the problem,

Nikashtuka kwa kujifanyisha nkasema nilidhani we bubu, maana kila siku nasalimia huitikii. Pili sitaki kumshobokea mtu ambaye haupendi mazoea na watu, pia nishapata wa kusalimiana naye yule rafiki yako si alinipa namba,
nikatoa bike yangu nkateleza,

Wakati wa kurudi nakuta yupo nje na anajua kuwa ndo muda wa kurudi
Akaniambia naomba kujua jina lako nikamwambia akasema lake pia. Nikataka kuondoka akauliza "don't you need my contact"? Or can I have your number?

Nikampa,
Usiku tu akaanza kunitext akanipa muda wa kuwa ntampigia, akajisogeza karibu kama rafiki,
Jumamosi moja anaomba nimsindikize zoo moja ipo kigamboni uko ya wanyama, nikamkubalia akasema atakuwa na marafiki wengine kumbe muhongo, sasa tukarudi very late ,nikakuta mzee wake anamsubiri pale , akamkaripia sana, nikamsalimu akaitikia lakin akaniangaliaaa wewe, nikaondoka, sasa usiku ninauliza kwamba uko free tuchat nikasema yep, akaniomba kesho niende kwao maana mama kaenda uswizi na baba majukum ya serikali alafu ni mtoto pekee,

Nikaenda nilikula kitu barudi muruaaaa hakukuwa na ubishi, sasa mlinzi akatibua akasema kwa mzee huyo,

Nikatumiwa meseji kutoka kwa huyo nayamanda akanambia tukutane mlimani city, nikawahi kufika pale gari ni Ile Ile nashangaa ye hayupo ila kuna mzee wake na walinzi wake wawili akawaambia tupishe kidogo,

Tukabaki wawili akaanza kunihoji Sanaa, akauliza kama Nina uhusiano na mwanaye nikasema hapana akarudia tena nikakana akasema niweke wazi nikakataa, akasema ameona SMS zile ndo maana akatumia simu ya mwanaye kunitext alijua nitakuja , nilimuomba msamaha,ila hakujua kama nimeshamla, akasema kijana kama unapenda maisha yako na kufika mbali, kwanza achana na mapenzi, pili kaa mbali na mwanangu, ni hayo tu, alafu akawaita wakaondoka dah. Kusema kweli niliogopa mno,

Nikamtext nayamanda kwamba plz tuachane nikamwambia sababu akasema nooo we ni crazy unamuogopa baba, kwanza ntaongea naye, nkasema weweeee usi thubutu, ila akawa anapanga siku tunakula mambo hotel moja iko karibu na maeneo ya kwao,

Ila walimpeleka uingereza sijui anaendeleaje uko,

Uzuri kalikuwa bikiraaaa sitakasahau
 
Kweli vyuma vimekaza.. Kuna Uzi mdada anamtafuta john walikutana naye kwenye basi sijui...kuna mwingine naye anamkumbuka demu flani ambaye kwa sasa anasikia yupo marekani....vyuma vimekaza..
 
Vimekaza kishenzi mana siku izi watu wanakumbuka kishenzi kama unavyosema mkuu
 
Hapa Jf kuna vichwa cyo masikhara,kila siku vinakuja na story mupya mupya.Hivi ndvyo vichwa vya kukaanavyo mbali
Gudume
General Galadudu
Venchwa
Miss Chagga
Miss Natafuta
Amanda Cute
 
Hallo habari zenu aisee,
Nimewaza nikakumbuka mi katika udogo wangu nilikuwa mtundu sana sana , nikutemee cheche ukatae, wapii, yaan kama ni sumu basi ni ya kifutu , maana sumu nikikupa tu utajifanya hunitaki ila usiku kucha unaota mpaka unitafte tena,

Nakumbuka nimebahatika kutembea na mtoto wa waziri mmoja wa mambo ya ndani wa zamani simtaji jina ila ni wa maeneo ya **** na mama yake ni mzungu yaan chotara Fulani hivi,

Nilikuwa kila siku napita kwao namsalimia anauchuna tu,
Nasalimia anachuna tu,

Kama mwezi mzima, nasalimia anachuna haongei chochote,
Nikaendelea tu hajibu, haya miezi miwili hajibu,
Siku moja yeye si watoto wamelelewa mayai hakuna kinachokosekana,
Siku moja nikapita nikakuta yupo na rafiki yake wa kike akili ikaja kwamba nikisalimia nikachuniwa ni aibu, sasa nitamsalimia huyu wa mwingine, nikamsalimia akaitikia, alafu akaniuliza kuhusu wapi anaweza pata hizi gym kwa maeneo hayo maana kwao walikuwa mlango umejilock na anataka, nikasema njoo nikuoneshe basi tukaongozana na Yule anayenichunia, njiani tukapeana namba ya simu na Yule hasiyenichunia yaan rafiki wa anayenichunia, nikafika nikamuonesha nikaenda zangu,

Kesho yake nikapita maeneo yale Yale kwa anayenichunia nikakausha sikumsalimia nikaenda nikaona anachungulia kwa geti nikasema powa tu,

Siku ya pili nika mute vile vile, kabla sijafika mbali nilisikia "YOU BOY WAIT" akaja akauliza why you always greet me, but today and yesterday not? What is the problem,

Nikashtuka kwa kujifanyisha nkasema nilidhani we bubu, maana kila siku nasalimia huitikii. Pili sitaki kumshobokea mtu ambaye haupendi mazoea na watu, pia nishapata wa kusalimiana naye yule rafiki yako si alinipa namba,
nikatoa bike yangu nkateleza,

Wakati wa kurudi nakuta yupo nje na anajua kuwa ndo muda wa kurudi
Akaniambia naomba kujua jina lako nikamwambia akasema lake pia. Nikataka kuondoka akauliza "don't you need my contact"? Or can I have your number?

Nikampa,
Usiku tu akaanza kunitext akanipa muda wa kuwa ntampigia, akajisogeza karibu kama rafiki,
Jumamosi moja anaomba nimsindikize zoo moja ipo kigamboni uko ya wanyama, nikamkubalia akasema atakuwa na marafiki wengine kumbe muhongo, sasa tukarudi very rate ,nikakuta mzee wake anamsubiri pale , akamkaripia sana, nikamsalimu akaitikia lakin akaniangaliaaa wewe, nikaondoka, sasa usiku ninauliza kwamba uko free tuchat nikasema yep, akaniomba kesho niende kwao maana mama kaenda uswizi na baba majukum ya serikali alafu ni mtoto pekee,

Nikaenda nilikula kitu barudi muruaaaa hakukuwa na ubishi, sasa mlinzi akatibua akasema kwa mzee huyo,

Nikatumiwa meseji kutoka kwa huyo nayamanda akanambia tukutane mlimani city, nikawahi kufika pale gari ni Ile Ile nashangaa ye hayupo ila kuna mzee wake na walinzi wake wawili akawaambia tupishe kidogo,

Tukabaki wawili akaanza kunihoji Sanaa, akauliza kama Nina uhusiano na mwanaye nikasema hapana akarudia tena nikakana akasema niweke wazi nikakataa, akasema ameona SMS zile ndo maana akatumia simu ya mwanaye kunitext alijua nitakuja , nilimuomba msamaha,ila hakujua kama nimeshamla, akasema kijana kama unapenda maisha yako na kufika mbali, kwanza achana na mapenzi, pili kaa mbali na mwanangu, ni hayo tu, alafu akawaita wakaondoka dah. Kusema kweli niliogopa mno,

Nikamtext nayamanda kwamba plz tuachane nikamwambia sababu akasema nooo we ni crazy unamuogopa baba, kwanza ntaongea naye, nkasema weweeee usi thubutu, ila akawa anapanga siku tunakula mambo hotel moja iko karibu na maeneo ya kwao,

Ila walimpeleka uingereza sijui anaendeleaje uko,

Uzuri kalikuwa bikiraaaa sitakasahau
Nimemkumbuka mchezaji wa zamani wa ligi kuu ya Tz, alikuwa akiitwa KAMBA Lufo......hahahaha
 
Back
Top Bottom