Ananisogezea nasogeza analeta tena, sitapanda tena DCM

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
2,222
Reaction score
3,158
Maisha ya Tanzania yetu haya

Juzi nimetua bongo kwa likizo yangu fupi, nikaamua nipande tu daladala, imejaa sana.

Kuna mdada nilisimama naye ndani ya basi (ujue mtu ambaye hajazoea shida anaonekana ananukia unyunyu nini na ngozi haijabanwa na vyuma)

Katika kusimama uko nahisi alijua hapa ngoja nimuwekee mtego wa mambo huyu mwanaume.

Nikasimama mkono nineshika juu watu wamejaa, akasimama kwa kuangalia upande mwingine, jeans yangu ilituna kwakuwa ana maumbile ya ajabu amejaza jaza nyama zile alizopewa na sub wana watahara.

Nikageukia pembeni naye akageuza, aisee ndani ya suruali mambo yakawa siyo nikaangalia upande mwingine naye akaleta tako lake, aisee mnateseka mnoo.

Nikashuka naye akashuka sikujua lengo lake, nikakaa pub moja hivi ye akapiliza lakin baada ya dk 10 akaja kunywa maji pale pale, akasema "we mkaka nyota.zetu zitakuwa zinafanana maana tunakutana sana "

Nikawaza sijui nimtawanye, ikabidi tu tupange arrangement na appointment ya kukutana jumamosi nifanya upako,

Lakin nahisi hakuwa na nguo ya ndani kitu ndembe ndembe tepetepe

Sijui nimle
 
Maisha ya Tanzania yetu haya,
Juzi nimetua bongo kwa likizo yangu.fupi, nikaamua nipande tu daradara, imejaa sana ,

Kuna mdada nilisimama naye ndani ya basi (ujue mtu ambaye hajazoea shida anaonekana ananukia unyunyu nini na ngozi haijabanwa na vyuma,)

Katika kusimama uko nahisi alijua hapa ngoja nimuwekee mtego wa mambo huyu mwanaume,

Nikasimama mkono nineshika juu watu wamejaa, akasimama kwa kuangalia upande mwingine, jeans yangu ilituna kwakuwa ana maumbile ya ajabu amejaza jaza nyama zile alizopewa na sub wana watahara ,

Nikageukia pembeni naye akageuza, aisee ndani ya suruali mambo yakawa siyo nikaangalia upande mwingine naye akaleta tako lake, aisee mnateseka mnoo,

mkuu mtoto wa nyoka hafundishwi kung'ata usiwe kama wanaume wa dsm na vibeg mgongon
 
Ukisikia ubatizo wa maji moto ndio kama huo unaotaka kukutokea ndugu, kasuuze rungu hilo acha kuvunga vunga
 
Maisha ya Tanzania yetu haya,
Juzi nimetua bongo kwa likizo yangu.fupi, nikaamua nipande tu daladala, imejaa sana ,

Kuna mdada nilisimama naye ndani ya basi (ujue mtu ambaye hajazoea shida anaonekana ananukia unyunyu nini na ngozi haijabanwa na vyuma,)

Katika kusimama uko nahisi alijua hapa ngoja nimuwekee mtego wa mambo huyu mwanaume,

Nikasimama mkono nineshika juu watu wamejaa, akasimama kwa kuangalia upande mwingine, jeans yangu ilituna kwakuwa ana maumbile ya ajabu amejaza jaza nyama zile alizopewa na sub wana watahara ,

Nikageukia pembeni naye akageuza, aisee ndani ya suruali mambo yakawa siyo nikaangalia upande mwingine naye akaleta tako lake, aisee mnateseka mnoo,

Nikashuka naye akashuka sikujua lengo lake, nikakaa pub moja hivi ye akapiliza lakin baada ya dk 10 akaja kunywa maji pale pale, akasema "we mkaka nyota.zetu zitakuwa zinafanana maana tunakutana sana "

Nikawaza sijui nimtawanye, ikabidi tu tupange arrangement na appointment ya kukutana jumamosi nifanya upako,

Lakin nahisi hakuwa na nguo ya ndani kitu ndembe ndembe tepetepe

Sijui nimle
Nipe tarakimu zake
 
Kwa maelezo yako kiongozi..
Ww ndo umepambaniwa coz bint kakutunuku tako na kama haitoshi bado akashuka uliposhuka.
Na pub tena....
Bro kapime uzito wa ulimi wako
 
Mambo hayaitaji kukurupuka mzee mi mtanzania lakin mgeni hapa, sikia watu wanakuja na mbinu
 
Back
Top Bottom