Mwanamke kama hana mambo haya sijisumbui

Mwanamke kama hana mambo haya sijisumbui

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
2,223
Reaction score
3,169
Kila mtu kuna kitu anataka kwa mwanamke.

Ila mimi haya hapa napenda vinne;

1.Sura,

2. Msambwanda muhimu mno maini matamu

3.Nyonyo

4.Kimo yaani urefu (muhimu sana)


Wewe unasema nini?

Karibu Singapore
 
we jamaa kwani umeshaachishwa mkee..ndo maana ndugu wamekushtukia utamsumbua dada yao
 
Acha kuwabagua dada zetu, mwanamke ni mwanamke mkuu
 
Huwa nikisoma humu sifa za girls wanaohitajika sokoni nahis sijazaliwa kwaajil hiyo
 
Back
Top Bottom