Mwanamke ana masikio matatu, babu alinambia

Mwanamke ana masikio matatu, babu alinambia

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
2,223
Reaction score
3,169
Babu yangu alinisihi kwamba mwanamke ana masikio matatu, mawili juu moja chini, wakati huo mwanaume ana macho matatu na vichwa viwili,.kichwa kidogo kikisimama kikubwa hakifanyi kazi, na macho mawili ya juu uambukiza na la tatu kutaka kuona wakati limefichwa,

Akasema ukitaka mwanamke akuheshimu na kukusikiliza yazibue hayo masikio, ila jitahidi sana kuzibua vizuri la chini maana ndo linamfanya mwanamke awe kwenye usikivu zaidi, sikio ilo hufichwa sana
 
NIKO HAPA BUGURUNI ASEE WAMEPITA WANAWAKE KIBAO SIJAMWONA MWENYE MASKIO MATATU.
Ngoja niende kkoo labda nitabahatika kumuona hata mmoja
Moja si rahisi kuliona
 
Babu yangu alinisihi kwamba mwanamke Ana masikio matatu, mawili juu moja Chini, wakati huo mwanaume Ana macho matatu na vichwa viwili,.kichwa kidogo kikisimama kikubwa hakifanyi kazi, na macho mawili ya juu uambukiza na la tatu kutaka kuona wakati limefichwa,

Akasema ukitaka mwanamke akuheshimu na kukusikiliza yazibue hayo masikio, ila jitahidi sana kuzibua vizuri la Chini maana ndo linamfanya mwanamke awe kwenye usikivu zaidi, sikio ilo hufichwa sana
Ulimkumbusha babu yako akupe na dawa ya kulizibua ilo la 3??! Imagine km unakiba100, afu vyakula venyewe vya Dar(chips, skonz tatu na soda asubuh), mazoez hakuna. We unazani utawez kulizibua ilo la 3?!!
Babu kakutia woga. Tafta pesa
 
Hahahahaha!!!
Nimesoma kwa mara ya kwanza sikuelewa mpaka niliporudia tena na tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom