Jamani wana MMU mtanisamehe kwa kuwatenga sana, lakini bwana raha za dunia lazima tushirikishane.
nlikuwa naangalia music kwenye you tube mara nikaona kitcheparty bongo... kufungua lahaulaah...
Haya wakuu wa jukwa embu tuongelee jambo tofauti leo. Badala ya kuamuru kesi za watu leo tufanye kitu ambacho kidogo kipo tofauti. Topic ya leo ni :-
JINSI YA KUWARIDHISHA WAZAZI
1. Waonyeshe...
salamu wana jf, nilitokea kumpenda binti mmoja na ninaendelea nae mpaka sasa. Jana mama yake alinipigia simu akanimbia amekua kwenye uchunguz akagundua nina uhusiano na mwanae,pia mwanae amekiri...
Samahani jamani naombeni mnisaidie kitu kimoja, kwa baadhi ya wanawake sehemu zao za siri huwa wana kitu kama kingozi kimetoka nje kama kidore! Je hicho ndio huwa kisimi chao kulingana na maumbile...
Umekutana na huyu mwanaume katika mazingira ya kushangaza lakini baada ya kupata wasaa wa kuzungumza kwa muda mfupi na kuachana kila mmoja akishika hamsini zake una unajikuta unatamani kuwasiliana...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
Mwenzenu sikukuuu hizi kuna mume wa mtu kiporo nanisumbua mda sanaaa! Tatizo mkewe baunsa afu ana mkono kinomaa akikupa kichapo utalala wiki mbili...
Mimi ni kijana around 30yrs kuna Binti mmoja naDate nae for 3ys now tokea ye yupo chuo mwaka wa kwanza hadi anamaliza,sasa imefikia kipindi nahitaji kumuoa kwa kweli ukizingatia tupo dini moja na...
Niko Mombasa kwa mapumziko ya X-mas na mwaka mpya. Nimesafiri na wife na watoto. Shida sub-house imekasirika sana haitaki mawasiliano na mimi, hapokei simu wala hajibu message. Mimi wanawake...
Kwa wale mnaotaka kuoa fanyeni hivo mapema, kwa wale mnaoacha kazi zenu za kuajiriwa na kuamua kujiajiri fanyeni hivo mapema, kwa wale mnaotafuta wapenzi fanyeni hivo mapema, kwa wale mnaotaka...
Kama umeshiriki tendo la ndoa na
zaidi ya watu 8 huna haki ya kuita
kiungo hicho SEHEMU ZA SIRI bali
ni mali ya UMMA chini ya Wizara
ya Utalii na Burudani.
Kama ni zaidi ya 10 basi ni...
Wakuu,mimi ni kjna mwenye umri wa miaka 28,nilitokea kumpenda sana msichana wakati nikiwa chuo,udsm. Mapenzi yetu yalikua matamu mno,na ukweli alikua mtam,yanii movable in any style,halafu alikua...
Habarini za jioni ndugu zangu,
mimi ni mwanamke nnamume na nnamtoto mmoja wa kiumu;kwa ufupi nilifunga ndoa nikiwa na umri mdogo sana ukilinganisha na maisha ya sasa yalivyo, tukabahatika...
Jamani kuna Mdada mmoja jirani na ofisi yangu, kiufupi ni bonge la mshkaji wangu na mara nyingi huwa ananiombaga simu yangu akiwasiliana na watu wake. SIMU YANGU HAIKOSAGI EXTREME humpaga n ahuwa...
Mimi ni kijana niliyehitimu masomo yangu ya chuo kikuu mwaka huu nina umri wa miaka 24, wakati nikiwa chuo nilibahatika kukutana na wasichana wawili wazuri sana ambao kwa nyakati tofauti niliweza...
Hata niliposoma habari hii kwenye gazeti la Nipashe, leo 29Desemba 2013, ukurasa wa tatu, nilizishinka nyeti zangu kuona kama ziko salama, na kuendelea kusoma habari hii ya ukatili mkubwa.
Huko...