Nielimisheni mwenzenu.

Nielimisheni mwenzenu.

Mkuu swali lako limenifanya nicheke pekeangu...
 
Huwa tunazungumzia siasa, uchumi, michezo, maisha, muziki, kazi, mapenzi, watu, visa, vimbwanga, vijimambo, utani, vyakula, mapishi.....

Saa ingine tunagombana, kila mmoja anamlamu mwenzake kuwa ndo sababu ya ugomvi, yanaisha, tunapatana, na maisha yanasonga mbele!
 
Mara nyingi ni maisha yao ya baadae pamoja matukio fulani fulani.
 
Huwa tunazungumzia siasa, uchumi, michezo, maisha, muziki, kazi, mapenzi, watu, visa, vimbwanga, vijimambo, utani, vyakula, mapishi.....

Saa ingine tunagombana, kila mmoja anamlamu mwenzake kuwa ndo sababu ya ugomvi, yanaisha, tunapatana, na maisha yanasonga mbele!

Thread imefungwa. Tayari mleta thread amepata alichokuwa anakitaka!
 
Kwani ukiwa na mpenzi wako huwa mnazungumzia nini au mnagegedana tu klia mtu anaangalia ya kwake? Stori za kwenye ndoa si za ajabu saana kuna muda mnaongele mipango yenu ya maisha ipi mmekamilisha na ipi bado na changamoto mnazokumbana nazo,kuna muda mnataniana kama marafiki,kuna muda mnakwazana mnaweza hata kununiana siku mbili tatu then mkayamaliza na maisha yakasonga,wala hakuna cha ajabu sana so usiogope na hii haina experience,experience unaipata hukohuko ndoani
 
duh mkuu ukiingia kwene mahusiano au ndoa utapata cha kuongea tu
 
Back
Top Bottom