oh baby oh baby

oh baby oh baby

Mpwa nlickiaga saga ya hii ngoma ---- imeimbwa na dada yetu mmbongo ila uyo alieifanyia video ni shosti ake nilimsikia pale clouds akieleza ilivokua.
 
Yakweli hayo mkuu? Me sijawahi kuskia
 
Yakweli hayo mkuu? Me sijawahi kuskia

Yeah just dig out bout dat,clouds media walikua wana process legal grounds kumsaidia n according to uyo binti anadai uyu aliemuibia alikua collage mate na walikua na group yao ya muzic bt ni nje ya Tz
 
Tulisumbuka sana katika shooting na kutafuta location ya huu wimbo. Lakini tulijitahidi kwa kweli!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom