Waswahili wanasema amnyimae punda mzigo ana mpunguzia .... kiukweli unapopigwa kibuti inauma. Lakini kwa upande mwingine ni fursa. Ukichukulia kibuti kwa mtizamo chanya utapunguza athari za kisaikolojia. Piga konde move on. Fanya mambo yako. Chances ni kubwa utampata mzuri zaidi. Cha msingi uache papara na kujuta.
Usikubali kibuti kikuathiri kisaikolojia, kwani ulizaliwa nae? Kabla ya kukutana nsye si uliishi tu kwa raha. Ni ngumu but be strong fursa nzuri zaidi iko mbeleni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.