2014..> Less words, more actions...

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
2,157
2,000
Kwa wale mnaotaka kuoa fanyeni hivo mapema, kwa wale mnaoacha kazi zenu za kuajiriwa na kuamua kujiajiri fanyeni hivo mapema, kwa wale mnaotafuta wapenzi fanyeni hivo mapema, kwa wale mnaotaka kujiendeleza kimasomo fanyeni hivo mapema... kwa ufupi 2014 should infact be "Less words, more actions"...

Kwa men wenye wapenzi, ni wakati mzuri wa ku show love and stop bullshitting!...

Kwa wale waliokuwa wanapost pumba JF, ni muda mzuri wa kubadilika sasa na kuwaonesha wanajamii kuwa nao wana kitu kichwani..!

BONUS:
1) There comes a time when you have to stop crossing oceans for people who wouldn’t jump puddles for you.
2)Less sugar, more fruit. Less meat, more vegetables. Less soda, more water. Less driving, more walking. Less worry, more sleep. Less words, more action.
3)If you’re trying to achieve, there will be roadblocks. I’ve had them; everybody has had them. But obstacles don’t have to stop you. If you run into a wall, don’t turn around and give up. Figure out how to climb it, go through it, or work around it.
4) Wisdom is the reward you get for a lifetime of listening when you’d have preferred totalk
5) simple rules for happiness: 1) Free you heart from hatred 2) Free your mind from worries 3) Live simply 4) Give more 5) Expect less
 

PLL

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
882
195
Thank you for the contructive words,Mungu anisaidie niyaishi haya maana kupanga n rahs kuliko kuyaishi..Be blessed
 

Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,793
2,000
hii kitu ikikosekana, nachukua muda mwingi kuelewa kitu kidogo.
Kwakuwa 2014 kutakuwa na maneno machache, tutapata picha nyingi.
Inshallah.

picha mkuu.

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom