Hii si ya wanawake tu, hata midume inawahusu

Hii si ya wanawake tu, hata midume inawahusu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,683
Kama umeshiriki tendo la ndoa na
zaidi ya watu 8 huna haki ya kuita
kiungo hicho SEHEMU ZA SIRI bali
ni mali ya UMMA chini ya Wizara
ya Utalii na Burudani.
Kama ni zaidi ya 10 basi ni mali ya
UMOJA WA MATAIFA kitengo cha
misaada. Zaidi ya 15 unastahili
kufikishwa mahakama kuu kwa
matumizi mabaya ya neno SEHEMU
ZA SIRI.
 
Anhaaa kumbe,hiyo imepitishwa na BAKITA au?
 
jamani mi niko nje huku!

nimepitia mlango wa nyuma!!

nahisi natafikishwa the ICC in no time!
 
vipi mpendwa lile swala la makalio ulipata ufumbuzi?
 
Kama umeshiriki tendo la ndoa na
zaidi ya watu 8 huna haki ya kuita
kiungo hicho SEHEMU ZA SIRI bali
ni mali ya UMMA chini ya Wizara
ya Utalii na Burudani.
Kama ni zaidi ya 10 basi ni mali ya
UMOJA WA MATAIFA kitengo cha
misaada. Zaidi ya 15 unastahili
kufikishwa mahakama kuu kwa
matumizi mabaya ya neno SEHEMU
ZA SIRI.

Ahaha ngoja nikisajilishe un
 
Ahahaa ban ki moon ananihusu mie Mali yake hii

mi hali huwa hivi na my loves wanguz!

603372_351569728261576_1465754997_n.jpg


sasa hapa jamani nisipoburuzwa ICC, si itakuwa unyanyasaji wa kijinsia?
 
Mmmh..
Asa kuna aliyebaki kweli?
Watu nane mbona inasemekana idadi ndogo sana..
Hasa wale seniour bachellors /spinsters
 
Back
Top Bottom