Msaada kwenye tuta!

mirisho pm

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
3,445
2,000
Jamani wana MMU mtanisamehe kwa kuwatenga sana, lakini bwana raha za dunia lazima tushirikishane.
nlikuwa naangalia music kwenye you tube mara nikaona kitcheparty bongo... kufungua lahaulaah..... naona mwanamke anacheza Mc anataja stail
1. Fagio la chuma
2. Kisusio... et baba ananyonya mama ananyonya, mwambie apite moja kwa moja had barazani asiishie uwani
3. Mbuzi kagoma, sita kwa sita.
4. hii ndio funika bovu et msaada kwenye tuta
5. Bafuni, unajipaka sabuni jamaa anapita kwa nyuma mdo mdo


nikafuatilia comment , wengi wa wakenya na wa west africa wamekubali kina dada wa bongo ni nouma linapokuja suala la mapenzi
ushauri wangu.. hivi kwa nini tamaduni nzuri kama hizi tusi zienzi jamani tunaliachia kabila fulani tu? iwe universal bhana.. hii naona itaongeza ufanisi kazini na kukuza uchumi wa familia na nchi kwa ujumla... yale mambo ya ooh niko kwenye foleni, ah leo nimechoka sana, ah leo kazi nyingi sana yasingekuwepo.

Drawback
mapenzi ni suala la kisaikolojia hivyo kama pety hajafurahi hata tendo lenyewe linaweza kuwa mizinguo na ujuzi wote alionao
ila msaada kwenye tuta anaetaka kushuka jamani.......lol.
 

Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,842
2,000
Natamani kuona staili ya msaada tutani hebu weka basi na ss tuone mbona unatushirikisha maneno matupu bana?
 

Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,842
2,000
Uzee huu!
Mi sijaelewa mtoa mada anataka kutushirikisha nini hapo!
Aanatushirikisha video ya kitchen part aliyoiona na bibi harusi akifundisha staili kwa vitendo sasa wengine ametuacha hapo kwenye staili ya msaada kwenye tuta labda unaweza kuwa na idea nayo
 

Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Aanatushirikisha video ya kitchen part aliyoiona na bibi harusi akifundisha staili kwa vitendo sasa wengine ametuacha hapo kwenye staili ya msaada kwenye tuta labda unaweza kuwa na idea nayo

Alaaa! Kumbe
Ngoja nitafute penseli niwachoree niilete
 

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,108
2,000
Hahahaaaaaa Mpwa wangu mpendwa wakati nasoma enzi zile mitihani ilikua na majibu manne yaani A, B, C, D yote ya kuchagua jibu sahihi, kuna kipengele kimoja kilikua kinasema A & B are correct answers, au unakuta D inasema None of the above sasa mimi nilikua napendelea hilo jibu la A & B hahahahahahaaaaaaa
Mpwa unataka usome comments au uone mbuzi kagomaje kwenda
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom